*KONGOSHO NA KISUKARI*

*KONGOSHO NA KISUKARI*

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,805
Reaction score
2,721
⚫Kongosho, kiungo cha mwili ambacho kinapatikana sehemu za nyuma tumboni,huachilia homoni iitwayo insulin kuingia kwenye damu. Insulin huruhusu glukosi kutoka kwenye damu na kuingia kwenye seli(cells)fulani katika mwili,ambako hugeuzwa na kuwa nishati mwilini.

Tunatumia nishati(Nguvu) hii kutuwezesha kutembea, kuongea, kufikiria, na kufanya kazi zinginezo.

⚫Ugonjwa wa kisukari hutokea iwapo kuna ukosefu wa insulin,kiwango cha chini cha insulin au insulin iliyotengenezwa mwilini haifanyi kazi ya kutoa glucose (Sukari) kutoka kwenye damu itakikanavyo

⚫ Kiasi cha sukari kinachozidi katika mwili hubadilishwa na kuwa glycogen ambayo huhifadhiwa kwenye ini. INI la mtu mzima linauwezo wa kuhifadhi kiasi cha grams 100-120 za glycogen ambapo kiasi kinachozid kubadilishwa na kuwa Fats ambayo huhifadhiwa katika mwili na kumfanya mtu azid kunenepa.

⚫ Hivyo basi Kongosho inashindwa kuzalisha Insulin,ama inaposhindwa kuzalisha Insulin ya kutosha kupelekea kiwango cha Sukari kuzid mwilin na hapo mtu anaweza kupata Kisukari.
 
mwenye tatizo la hiyo ishu afanyeje sasa. anasaidikaje. Nime-subscribe kabisa!!!!
 
Mi hawa wenye kuanzisha uzi na kupotea huwa naona waongo waongo ukute kuna daras huko anatolea madini anayaleta huku anasubiria yule mwalimu aandike tena ili ajibu huku...
 
Wanajukwaa tuvuteni subira naona mtoa mada sukari imempanda.....atarudi muda sio mrefu......

Tulieni tulieni wote mtapata dawa....
20241026_164833.jpg
 
⚫Kongosho, kiungo cha mwili ambacho kinapatikana sehemu za nyuma tumboni,huachilia homoni iitwayo insulin kuingia kwenye damu. Insulin huruhusu glukosi kutoka kwenye damu na kuingia kwenye seli(cells)fulani katika mwili,ambako hugeuzwa na kuwa nishati mwilini.

Tunatumia nishati(Nguvu) hii kutuwezesha kutembea, kuongea, kufikiria, na kufanya kazi zinginezo.

⚫Ugonjwa wa kisukari hutokea iwapo kuna ukosefu wa insulin,kiwango cha chini cha insulin au insulin iliyotengenezwa mwilini haifanyi kazi ya kutoa glucose (Sukari) kutoka kwenye damu itakikanavyo

⚫ Kiasi cha sukari kinachozidi katika mwili hubadilishwa na kuwa glycogen ambayo huhifadhiwa kwenye ini. INI la mtu mzima linauwezo wa kuhifadhi kiasi cha grams 100-120 za glycogen ambapo kiasi kinachozid kubadilishwa na kuwa Fats ambayo huhifadhiwa katika mwili na kumfanya mtu azid kunenepa.

⚫ Hivyo basi Kongosho inashindwa kuzalisha Insulin,ama inaposhindwa kuzalisha Insulin ya kutosha kupelekea kiwango cha Sukari kuzid mwilin na hapo mtu anaweza kupata Kisukari.
Cc: Kongosho , kisukari
 
Back
Top Bottom