kongosho......

kongosho......

Kazeni buti kwa Bayern. Ndo mlichobakiwa nacho kwa sasa. Na mkifanya masihara jamaa watawalamba mbao nyingi sana.

fello tablet ile fainali hakuna kukaza buti bana, pale ni kama brazil anacheza na somalia tu.
NB: Bayern ndio brazil
 
Lakini tutashangaza tutakapolikamata kombe la FA kama tulivyofanya kwenye Carling.

Aah jamani..!! Hiyo tutafia uwanjani.. Patachimbika! Hatutakubali...! Wallah patakuwa hapatoshi!
 
fello tablet ile fainali hakuna kukaza buti bana, pale ni kama brazil anacheza na somalia tu.
NB: Bayern ndio brazil

Hahah hapo kwenye Somalia mi nimesoma Shelisheli. NB- Shelisheli ndo chelshit aka chelsick.
 
Nakuaminia bodgad wangu.. Erickb52 wewe tu ndiye kidume mwaminifu!
Hawa wengine wote vijambazi...adhabu yao naiandaa
Ila na shem ana misimamo sana....yan yeye na pua tu hataki shida lol sijui hiyo pua ina nini Rejao
 
Last edited by a moderator:
Darling Rejao bora umekuja uwaone mwenyewe,but hawaniwezi nawamudu hawa c umeona mwenye mme wangu!
Nakuaminia mpenzi wangu,
Upo mikononi mwangu,
Tumuombe sana mungu,
Penzi letu lisiwe na ukungu.
 
Last edited by a moderator:
Ndicho nilichompendea Cantalisia wangu. Hana papara, ana msimamo wa kweli!

Kwanza umejuaje msimamo wake kama hujajaribu kumpiga sound? Una kesi ya kujibu Erickb52
Mimi kwa shem wangu tena?
Lol haiwezekani....
Ila kuna kipindi huwa ananitega ila navumilia tu
 
Last edited by a moderator:
Wana Chelsea hatutokubali kufungwa kirahisi... Lazima patoboke babu Asprin! Kweli tena...!

Shhiiì... Dont disturb. Nimekaa na mrembo hapa Highway Korogwe natengeneza dili la kunyakua contacts zake. Huyu lazima atakuwa muiraqw. Ukishasoma hii post nistue niidiliti kabla wajukuu hawajaisoma...
 
Nakuaminia mpenzi wangu,
Upo mikononi mwangu,
Tumuombe sana mungu,
Penzi letu lisiwe na ukungu.
Rejao kanipa maulana
Kwako nimetulizana,
Watabaki wanaulizana,
Kwa raha tunanenepeana,
Penzi letu kamwe alitapata ukungu,
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh niko juu...ila Rejao akija hapa ataanza kusema mbona unanisifia sana lol ataanza kuhisi mambo ya shemeji shemeji huku mwazima taa lol
Nammiss Amyner.....
Rejao wangu muelewa na ananiamin,
Ila ndio umhakikishie km kweli hujipangi kurusha za kishem shem!
Kwan Amyner yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom