kongosho......

Hahahaha!uwiiii shem mie cmo aiseee,hahahaha umenichekesha mpaka bac!

Haahahaaaa siku ya kwanza kufika wakanambia "Karibu Ntwara" lol nkajua wanaongea kimzaha...si nikashangaa na mwingine kaibuka "Huku hata nke utampata"
 
Ama kweli akipenda chongo huona kengeza,konnie kawa kibibi mara hii?
Hahahahahahaaaa potezea basi na wewe lol
Unataka niachike?
Nikiachika nasogea pale Unga LTD ukizingatia niko hapa Daraja Mbili nashuka tu taaaratibuuuu
 
Hahahahahahaaaa potezea basi na wewe lol
Unataka niachike?
Nikiachika nasogea pale Unga LTD ukizingatia niko hapa Daraja Mbili nashuka tu taaaratibuuuu
Na mtembea na pistol utamfanyaje? Au hujipendi?
 
Ndo hapo mnapokosea, kujidai mwajua kuliko wakufunzi.

Wanapenda kitu tait na si kunukia, kalagha baho.

Situmii limao, mi naweka hiliki na mafuta jasmine.. Hayo ya limao mbona karne ishapita!
 
toka alipotoka kwa bibi kusafisha nyota kawekwa kima da na theboss. katulia tuli anaona mambo yamemnyokea.
 
he he he, wala usikonde.

Nikikula wewe ni stater tu na si main course, nikikuhurumia unakuwa desert.

Acha nile bepari kwa main course.

Kongosho acha kuniharibia...we baki na akina Bishanga wazee wenzako mi niache na ma Miss saizi yangu lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom