Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,652
2,000
JPM alisema watu wazae kwa wingi waongezeke kwa nguvu kazi, ukizingatia vilevile ukimwi ni ajali kazini, condomu hazihitajiki tena.
 

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
1,154
2,000
Mbona sehem za starehe ICAP Wana ATM za condom kabisa.
Kuna card unapangusa unapata mzgo fresh kabisa.
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
4,321
2,000
Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000

Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
Mkuu umepata game ya gafla umekumbuka zana na kumbe zana zwnyewe hakuna πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wazalishaji walipunguza uzalishaji maana Covid 19 iliyumbisha sana sekta sababu wateja wengi waliangulia mbele za haki, kitu kilicho pelekea demand kuwa ndogo sanaa. Ila kwa sasa ivi mkuu ngoja kuchangamke walau demand ipande then supply yao iongezeke ila kwa sasa mnyang'anyane icho kidogo kilichopo
 

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,731
2,000
Enzi za aids-ukimwi zimeisha sasa hivi tupo kwenye changamoto za upumuaji covid
Ni chanjo tu
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,388
2,000
Mkuu umepata game ya gafla umekumbuka zana na kumbe zana zwnyewe hakuna wazalishaji walipunguza uzalishaji maana Covid 19 iliyumbisha sana sekta sababu wateja wengi waliangulia mbele za haki, kitu kilicho pelekea demand kuwa ndogo sanaa. Ila kwa sasa ivi mkuu ngoja kuchangamke walau demand ipande then supply yao iongezeke ila kwa sasa mnyang'anyane icho kidogo kilichopo
Nikipata game siyo tatizo, ila siyo . Nina duka la dawa wateja wanakuja Sana kutafuta condom na Sina WΓ nasema zimeadimika. Whole sale pharmacy hakuna.......
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
4,321
2,000
Nikipata game siyo tatizo, ila siyo . Nina duka la dawa wateja wanakuja Sana kutafuta condom na Sina WΓ nasema zimeadimika. Whole sale pharmacy hakuna.......
Mkuu waambie vijanaa wamrejee muumba wao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom