Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Umemsahau Nile Croc. Dubwana la kutishaaa
Sio mimi nilieongea hivi. Hao ni wataalam wenyewe wa mambo ya wanyama. Ndio wanaokiri kuwa hata huyo king of the jungle Simba hawezi kuweka mguu maeneo ya hawa viumbe.

Atafanywa kitoweo fasta tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8
Mkuu, huu ndio ulikuwa wasiwasi wangu. Yaani hujui kwamba Godzilla ni stori tu, hajawahi kuwepo duniani for real? Usije ukaniambia pia kwamba unaamini kwamba dragon naye ni mnyama halisi.
Mkuu beefinjector nimetumia neno "nafikiri" nikiwa na maana kuwa sina uhakika wa mia kwa mia kuwa huyo mnyama alikuwepo au hakuwepo.

Kuhusu dragon pia sina uhakika wa 100% ila komodo dragon huyu tunaemzungumzia ktk thread hii yupo.
 
Kenge aliechangamka

Haujaingia miziki ya koboko, simba, chui
Wataalam wa wanyama washakiri kuwa king of the jungle Simba hawezi kuweka mguu maeneo ya hawa viumbe mkuu.
 
Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8
Madhara ni hiyo sumu kwa wanyama wengine ila kwa binadamu ni lioga linakimbia
😂😂😂 Inategemea umefumaniana nalo katika mazingira yapi. Kuna mazingira ukiwa kihasara hasara linakutoa nduki na usipokuwa makini linapiga jino mkuuni ili baadae utapoanguka lije kumaliza kazi.
 
Kenge aliechangamka

Haujaingia miziki ya koboko, simba, chui
kenge wa kawaida kabisa,anakula nyoka bila kujali ni koboko ama cobra labda awe mkubwa kuliko uwezo wake kumla.

huyo jamaa hapo juu sio league hizo za kenge wa 15kgs,liko kwenye 150kgs huko.uzito wa simba jike asiye na mawazo.
na ubaya wa huyu kenge uzombie hachagui windo,hata simba alijichanganya akapigwa jino lake anakuwa kama zombie analiwa.
 
Mate yake yana sumu mbaya sana tena sanaaa ..huwa hawindi kwa nguvu kama kina simba ye huwa smart sana anakuuma then anapoa pembeni kusubiri uanguke aje akutafune kiroho mbaya...

NI HATARI SANA HUYU KENGE SIMPENDI KABISA MIMI
 
Kuna video ninayo hapa anammendea swala kamkosa kosa swala karuka balaa sema nikitaka kuituma humu eti nikiingia galery siioni au atachiment haipo siioni wakati kwenye galery ipo
 
Fikiria mkuu, kama wataalam wenyewe wa mambo ya wanyama wanakiri wazi kuwa hata king of the jungle Simba hawezi kuweka mguu maeneo ya hawa viumbe, hao wanaolipinga hili dubwasha wanapinga kwa vigezo gani?!
 
Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8
Mate yake yana sumu mbaya sana tena sanaaa ..huwa hawindi kwa nguvu kama kina simba ye huwa smart sana anakuuma then anapoa pembeni kusubiri uanguke aje akutafune kiroho mbaya...

NI HATARI SANA HUYU KENGE SIMPENDI KABISA MIMI
Yani huyu ni zaidi ya hatari kwa kweli.
Ukiingia 18 zake hana huruma wala rafiki.
 
Kuna video ninayo hapa anammendea swala kamkosa kosa swala karuka balaa sema nikitaka kuituma humu eti nikiingia galery siioni au atachiment haipo siioni wakati kwenye galery ipo
Huyo swala lazima akawasimulie wenzake jinsi alivyonusurika kufanywa meal na hilo dudu.
 
Back
Top Bottom