Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Usijidanganye hapo. Hawa jamaa Wana mbio sana kuliko binadamu japo ni Kwa muda mfupi (hawana pumzi). Akiwa mbali na wewe unaweza ukapona kama utajitahidi ila akikumemdea akakukaribia na kukukimbiza basi jikabidhi tu Kwa muumba.

Tuongee statistics/ facts.... Average speed ya mwanaume ni 13kph, mwanamke ni 10kph. Sasa komodo anafika top speed ya 20kph. In short sio rahisi Kwa mtu kumshinda mbio huyu jamaa
Speed yake inaweza kuzidi ya mbwa?
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.

Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger pamoja na uwezo wa kuishi karibu na wanyama wakali, lakini hawezi kufanya mzaha huo mbele ya Komodo dragon aisee atamezwa yeye na manyoa yake. Jamaa hana masihara na mnyama mwingine yoyote.

Komodo dragon ana venom (sumu kali) kuliko mnyama yoyote hapa duniani. Akiuma mara moja tu inatosha kumaliza mchezo. Hata iwe Tembo, kifaru, kiboko, simba nk hawawezi kufikisha dakika 5 bila kuanguka chini na kupararaizi, kisha Komodo anajivuta taratibu kuja kula nyama.

Haijalishi hapo mnyama atakuwa ameshakufa au bado anapumua, Komodo atachofanya ni kuanza kumtafuna mzima mzima huku anayetafunwa anamuona. Kwa vile atakuwa ameshapararaizi basi mshambuliwa hatokuwa na nguvu ya kumfanya chochote Komodo.

Mnyama huyu hata sumu ya koboko haimdhuru kutokana na aina ya uumbwaji wake ulivyo, ila yeye ya kwake inamdhuru koboko kwa sekunde tu, kwanza anaweza kummeza kwa sekundi 10 bila hata kutumia venom (sumu) yake.

Kwa upande wa binadam sometimes unaweza kuumwa na Simba, Tiger, Leopard, Mamba nk ila ukawa jasiri na kufanikiwa kujiokoa na kutoka nduki kuokoa maisha yako.

Ila mzee Komodo yeye akishakupiga jino basi ujue ni bye bye maana kama ukibahatika sana itachukua ni dakika 3 au 5 kuiaga dunia na pengine mzee wa kazi atakuja akutafune ukiwa bado hujafa hadi atakumaliza na kukumeza wewe wote.

Huyu mnyama akishakupiga jino hukaa pembeni umbali kidogo wa ulipo halafu anakusikilizia. So unaweza kutoka nduki ukidhani umepona kumbe dakika mbili au tatu za mbele utaanguka na kuanza kuishiwa nguvu, hapo ndo mzee wa kazi ataanza kukufuata huku akitumia pua yake kunusa kila sehemu uliyokanyaga hadi atakukuta ukiwa hoi na yeye au wao wakumalizie kabisa.

Huyo ndio Komodo dragon mbabe wa wababe wote duniani. Japo wengi huku Afrika hawamjui kutokana na wanyama hao kupatikana zaidi katika bara la Asia.

View attachment 2321342View attachment 2321345
Too much exaggeration, Ni mnyama jamii ya mijusi wakubwa,Ni kweli wana sumu kali,ila Ni waoga Sana na wanawinda kwa makundi, also Wana Tabia za cannibalistic adults, yaani wakubwa kuwala vifaranga
 
Ok sawa
Hivi huyu komodo na yule ambaye tunamwona kwenye movie anaefana kichwa kama cha kondoo alafu ana meno kana ya mamba shingo ndefu miguu miwili mikubwa na miwili ya mbele midogo dogo (kama kangaroo) nae anakulaga nyama nani anatisha.
😂😂🤣🤣 Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-202954.jpg
    Screenshot_20220814-202954.jpg
    41.6 KB · Views: 9
Nimeona video moja wamechukua sumu inayotoka kwa Comodo then wakaweka kwenye nyama ya ng'ombe. Baada ya siku 3 ile nyama ikawa kama mkaa/majibu fulani hivi.
Ebwana sumu ya lile dubwasha haielezeki. Wachache wanaopinga ni wale wasiofahamu sifa halisi ya hili dubwasha hatari zaidi duniani.
 
kama ni kweli basi huyo mnyama ni hatari sana
Mkuu Red Devils kama una muda kidogo pitia comments hizo za mashuhuda wengine. Afu upime na kile nilichoandika kama utaona tofauti.

Soma post namb #5 , #33 na #293

Ukweli ni kwamba hilo dubwasha lipo duniani kwa ajili ya kuuwa na kula viumbe wengine.
Full stop.
 
Mchango wangu mdogo...
Huyu mwamba ni jamii ya mijusi🤭🤭, hasa kenge (monitor lizard). Anaitwa komodo dragon Kwa sababu anapatikana Kwa wingi visiwa vya komodo au waligundulika visiwa hivyo. Dragon ni mythical creature tu kama walivyo sphinx na pegasus ila huyu jamaa amepewa jina la utani la dragon Kwa sababu ya ukali wake na hofu anayowajaza watu.
Mnaposema siyo kenge Kwa maana hafanAni na kenge wa huku kumbukeni hata Simba na chui ni jamii ya paka na wanyama wa jamii Moja wanaweza kutofautiana. Hata Simba wenyewe wako wa aina tofauti tofauti.
Mkuu nashukur sana kwa ufafanuzi wako. Lkn mimi nilikuwa nimeshatolea ufafanuzi pia ktk post namb #266
Kwamba mamba, kenge, komodo na wengine wa aina hiyo wote ni jamii ya mjusi au mijusi.
 
Ndio ni kenge jamii kubwa sema sumu tuu ndio inafanya atishe ila kama ni meno hana ana ndimi zikitoka ni kama 2 hivi kama kenge vile vile
Wataalam wanasema ana meno madogo madogo aina ya msumeno, lkn yamejificha ndan ya ufizi wake.
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-212718.jpg
    Screenshot_20220814-212718.jpg
    35.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220814-213148.jpg
    Screenshot_20220814-213148.jpg
    31.8 KB · Views: 6
Mkuu nashukur sana kwa ufafanuzi wako. Lkn mimi nilikuwa nimeshatolea ufafanuzi pia ktk post namb #266
Kwamba mamba, kenge, komodo na wengine wa aina hiyo wote ni jamii ya mjusi au mijusi.
Naelewa mkuu. Ni kwamba tu pia nilikusoma ulisema kama vile siyo jamii Moja Kwa maana komodo ni maradufu zaidi ya kenge wengine ila pia ukasema 'ni komodo na ni dragon' kama vile komodo ni kiumbe kingine kabisa na siyo kwamba ni kenge anayeitwa komodo dragon. ile 'na ni dragon' niliona niwatoe tu watu hofu, dragons are not real 😄😄
 
Naelewa mkuu. Ni kwamba tu pia nilikusoma ulisema kama vile siyo jamii Moja Kwa maana komodo ni maradufu zaidi ya kenge wengine ila pia ukasema 'ni komodo na ni dragon' kama vile komodo ni kiumbe kingine kabisa na siyo kwamba ni kenge anayeitwa komodo dragon. ile 'na ni dragon' niliona niwatoe tu watu hofu, dragons are not real 😄😄
Ya ni kweli mkuu, nahisi kuna sehem nilikuwa napita fasta na kujikuta nimechanganya maana. Shukran sana mkuu kwa ufafanuzi wako wenye tija.
Ubarikiwe sana 🙏.
 
Ni hivi kiuhasilia hakuna kiumbe ambacho ni kibabe kuliko chenzie hata mchicha unauunda na kitimoto lakini ukifa utakaa ardhini utakufyonza!
Hata blue whale anaweza uliwa na killer whale wawili
 
Kuna ukweli hapo ila ndiyo maana nikaweka takwimu. Kitakwimu pia, binadamu anaekimbia hatari Huwa ana mbio zaidi ya kawaida. Ila kiuhalisia kiwastani, komodo wa mbio kuliko binadamu wa kawaida
Huyu jamaa na uzi wake amefanya nihangaike na huyu kenge tangu asubuh
Nimetoka kugugu tena, kwa anavyochanganya haraka ukashtuka ukamkuta karibu yako less than 10 feet basi umeisha, labda uwe una mbio kwelikweli uchomoke kama mshale. Ila zaidi ya hapo unamtoroka vzuri tu.
 
Back
Top Bottom