Ukiwa Rais wa Taifa hili ukilala unatakiwa uwaze sehemu hizi bandari,wizara fedha ,wizara madini Sasa yeye amelala fofofo anasubiri report kuletewa Samia ni Kama mgeni kwenye nyumba hafai hafai hafai kabisa.
Weka wanajeshi bandarini kwisha habari
kuna yule mmoja mla rushwa anaishi kimwili lakini alishakufa zamani.
Magufuli ni best president of our times. Haepukiki kama maji.
Ukiitwa uthibitishe hizo allegation utaeza? ukimbiwa upeleke concrete evidence utaweza?jumba bovu ni pamoja na urais wake. majizi yamemuua rais wetu halafu bi tozo akaangushiwa jumba bovu la urais na asivyojielewa kaanza kunogewa
Nakubaliana .Kweli jamii forum ya zama hizi imechoka sana. Yaani Mzee Mwanakijiji ndio wakuja na mada nyepesi nyepesi za namna hii?
Yaani hawezi kuandika tena mada mpaka amuingize marehemu Magufuli na kumpamba?
Okay, turudi kwenye mada, bado sijapata logic yako ni nini?
Unataka kusema mama kwa sasa anamuiga Magufuli hivyo tumuunge mkono au tumkosoe?
Sote tunajua, tatizo la bandari ni tatizo la kimfumo (limetengenezwa na linalindwa na serikali ya CCM) na liko chini ya usimamizi wa mamlaka ya rais kwa kuwa karibu theluthi moja ya mapato ya nchi ya kila mwezi ya TRA yanapitia pale. Na sote tunakumbuka lilikuwa ni eneo la mahususi la kufanyia siasa za kiusanii katika utawala wa Magufuli (kumbuka issue za makontena ya makinikia, kuokotwa vichwa vya treni na mamia ya magari yasiyokuwa na wenyewe nk, na waokotaji walikuwa ni Magufuli na Majaliwa huku wakiwa wamezungukwa na kamera za kila kituo cha habari hapa Tz chini ya mwamvuli wa ziara za kushtukiza!)
Naona tatizo lako kutajwa kwa Magufuli umechefukwa!Kweli jamii forum ya zama hizi imechoka sana. Yaani Mzee Mwanakijiji ndio wakuja na mada nyepesi nyepesi za namna hii?
Yaani hawezi kuandika tena mada mpaka amuingize marehemu Magufuli na kumpamba?
Okay, turudi kwenye mada, bado sijapata logic yako ni nini?
Unataka kusema mama kwa sasa anamuiga Magufuli hivyo tumuunge mkono au tumkosoe?
Sote tunajua, tatizo la bandari ni tatizo la kimfumo (limetengenezwa na linalindwa na serikali ya CCM) na liko chini ya usimamizi wa mamlaka ya rais kwa kuwa karibu theluthi moja ya mapato ya nchi ya kila mwezi ya TRA yanapitia pale. Na sote tunakumbuka lilikuwa ni eneo la mahususi la kufanyia siasa za kiusanii katika utawala wa Magufuli (kumbuka issue za makontena ya makinikia, kuokotwa vichwa vya treni na mamia ya magari yasiyokuwa na wenyewe nk, na waokotaji walikuwa ni Magufuli na Majaliwa huku wakiwa wamezungukwa na kamera za kila kituo cha habari hapa Tz chini ya mwamvuli wa ziara za kushtukiza!)
Duh...!.
P
We mzee acha kuturudisha Misri. Wacha Mama achape kazi.Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. SSa anajitengenezea maadui wa ndani? Ameanza kuona nini? Maana maneno yake ukiyawekea sauti ya Magufuli hutaweza juona tofauti...
Waliomuunga mkono na kusita wapate nguvu mpya?
Mnalazimisha hilo Zimwi lenu kusikika watanzania walishasahau.
You nailed itKweli jamii forum ya zama hizi imechoka sana. Yaani Mzee Mwanakijiji ndio wakuja na mada nyepesi nyepesi za namna hii?
Yaani hawezi kuandika tena mada mpaka amuingize marehemu Magufuli na kumpamba?
Okay, turudi kwenye mada, bado sijapata logic yako ni nini?
Unataka kusema mama kwa sasa anamuiga Magufuli hivyo tumuunge mkono au tumkosoe?
Sote tunajua, tatizo la bandari ni tatizo la kimfumo (limetengenezwa na linalindwa na serikali ya CCM) na liko chini ya usimamizi wa mamlaka ya rais kwa kuwa karibu theluthi moja ya mapato ya nchi ya kila mwezi ya TRA yanapitia pale. Na sote tunakumbuka lilikuwa ni eneo la mahususi la kufanyia siasa za kiusanii katika utawala wa Magufuli (kumbuka issue za makontena ya makinikia, kuokotwa vichwa vya treni na mamia ya magari yasiyokuwa na wenyewe nk, na waokotaji walikuwa ni Magufuli na Majaliwa huku wakiwa wamezungukwa na kamera za kila kituo cha habari hapa Tz chini ya mwamvuli wa ziara za kushtukiza!)
Kalime matikit Kaka! Teuz sahau
Enzi za Mwinyi haikuwa kila kitu Nyerere.Wanalazimisha mno kila kitu sifa apewe Magufuli...
As if kabla ya Magufuli Taifa halikuwepo kabisa.. ..
Anayopitia Samia hata Mwinyi alipitia..
Enzi ya Mwinyi ilikuwa kila kitu Nyerere..
Utasema Nyerere aliacha nchi imeendelea kama Ulaya..
Nongwa Tu hakuna lolote