AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Hata mie nimemiss fellow table naye mmmhh
Mimi nilikumiss na wewe pia...lol
Hata mie nimemiss fellow table naye mmmhh
Mimi nilikumiss na wewe pia...lol
Ukitaka kushangaa Uporoto na Kabakabana walipotea,Sweetlady na Nitonye wakapotea then Bishanga na Lizzy wakapotea.....
Da Ashadii hujanimiss??
Mimi nilikumiss na wewe pia...lol
Ni kweli....Wee nafurahi kukuona siku zote upo kwa kweli... Nikisema leo nimekumiss siku nikimaanisha hutaniamini au siio Eric? lol
Adiii karibu tena nilikumiss sana nipo dear umekuja jumla sasa
Hivi hamjui wote wako wapi??
Saizi nipo rafiki... Sema tu twapishana....lol. Mambo yapo vipi huko kwenu?
Hebu sema Erick52 wamewekwa unyumba nini
Dah unajua tukirudi kwenye ukweli huwa nawamiss sana wana JF as if nimewahi kuwaona...mh inaniuma sana kutowaona ma bestsTena kweli aisee.... Kaby imekua Kitambo saana.... I hope wote ni wazima... I miss Bishanga pia....
Mahangaiko mengi hadi twapoteza ukimwona babu ODM. Akuje kukagua wajuku wapya wanasubiri
Dah unajua tukirudi kwenye ukweli huwa nawamiss sana wana JF as if nimewahi kuwaona...mh inaniuma sana kutowaona ma bests
Yeah....I know... I understand. Kuna members ambao wamepoteaaaa.... Wish they come back soon.
Shemeji yangu klorokwini
Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!
KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.
Aksanteni.
hehehe usjali shem langu la pekee ambalo halitumii karolaiti (hapa namaanisha MJ1 tu), wamenipa u mod wa google bana sasa hapa 24/7 tunaedit mawebsite likiwemo hili la JF, juzi tu niliona PM ya Mbu anamuimbia love song blaki woman (niliiona kupitia huku google)........of ze year bila kunishirikisha.