Klorokwin..................

Hata Lizzy naye kapotea.

Sijui ni coincidance bepari na Lizzy kupotea pamoja.
Ukitaka kushangaa Uporoto na Kabakabana walipotea,Sweetlady na Nitonye wakapotea then Bishanga na Lizzy wakapotea.....
Hapa ngangali ni Erickb52 na Amyner
 
Last edited by a moderator:
Wee nafurahi kukuona siku zote upo kwa kweli... Nikisema leo nimekumiss siku nikimaanisha hutaniamini au siio Eric? lol
Ni kweli....
I'm happy niko salama na wewe uko poa....
Nammiss sana Kaby..uporoto...klorokwini...Nitonye...Bishanga
 
Ni kweli....
I'm happy niko salama na wewe uko poa....
Nammiss sana Kaby..uporoto...klorokwini...Nitonye...Bishanga

Tena kweli aisee.... Kaby imekua Kitambo saana.... I hope wote ni wazima... I miss Bishanga pia....
 
Last edited by a moderator:
Tena kweli aisee.... Kaby imekua Kitambo saana.... I hope wote ni wazima... I miss Bishanga pia....
Dah unajua tukirudi kwenye ukweli huwa nawamiss sana wana JF as if nimewahi kuwaona...mh inaniuma sana kutowaona ma bests
 
Last edited by a moderator:
Dah unajua tukirudi kwenye ukweli huwa nawamiss sana wana JF as if nimewahi kuwaona...mh inaniuma sana kutowaona ma bests


I know... I understand. Kuna members ambao wamepoteaaaa.... Wish they come back soon.
 
Shemeji yangu klorokwini

Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!

KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.

Aksanteni.

hehehe usjali shem langu la pekee ambalo halitumii karolaiti (hapa namaanisha MJ1 tu), wamenipa u mod wa google bana sasa hapa 24/7 tunaedit mawebsite likiwemo hili la JF, juzi tu niliona PM ya Mbu anamuimbia love song blaki woman (niliiona kupitia huku google). Na huku tuna uwezo kabisa wa kumban hata mod wa JF kama hajafuata sheria za google, kwahiyo shem mods wakileta za kuleta niPM.

Baada ya shukrani hizo fupi kwa shem langu MJ1 napenda nitoe shukrani pia,

Kwa niaba ya waifu wa jirani yangu ambae hataki kupima ukimwi
Kwa niaba ya mwanajeiefu ambae kanisingizia mimba bila kulala nae
Kwa niaba ya Biharusi wa juzi hapa kitaani ambae kapaka lipustiki ya mkopo
Kwa niaba ya wagonjwa wa harufu mbaya kinywani
Na mwisho kwa niaba ya mshkaji wangu hapa ambae ana kigugumizi lakini kashukiwa na miujiza na sasa anatongoza bila kigugumizi.

Naomba niwashkuru nyote kwa jumla na kuwajulisha tu kwamba ni kweli nimepotea na nitaendelea kupotea kiduuuchu kutokana na majukumu ya google.

Nawamiss warembo wote wa JF, hii midume naimiss kiunafiki nafiki tu,
salam zake fello tablet na kongosho baada ya kula ki fifty sauzend cha JF man of ze year bila kunishirikisha.
 
hehehe usjali shem langu la pekee ambalo halitumii karolaiti (hapa namaanisha MJ1 tu), wamenipa u mod wa google bana sasa hapa 24/7 tunaedit mawebsite likiwemo hili la JF, juzi tu niliona PM ya Mbu anamuimbia love song blaki woman (niliiona kupitia huku google)........of ze year bila kunishirikisha.

......khaaa?!!!!!.....

Aisee lawyer wangu mbona wamwaga
Mtama kwenye kuku wengi tena bana.....
Whr's ur code of practice bana?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom