Kisa cha shemeji kuniteka kimapenzi

ginyisi

Senior Member
Apr 6, 2023
148
261
habari wana jamii forum, natumain mu wazima. Naomba nisiwachoshe, mniruhusu niende Moja kwa moja kwenye mada.

Ni miaka mitatu sasa tangu tumpate mtoto wetu wa kwanza, shemeji yangu ambae ni mdogo wake wa kike wa mke wangu alikuja kwa ajili ya kumsaidia kumlea mtoto, akitokea mkoani. Akiwa binti mdgo na kama unavojua ndugu msomaji Binti kutoka bush kuja Dar vile wanavokuwa, basi kwa ufupi hakuwa na mvuto wowote, basi tuliishi vizuri na nilimpenda sana kutokana na alikuwa mpole na mwenye heshima iliyopitiliza yaani nikiwepo nyumbani haongeagi na kadri muda ulivozidi kwenda nilifanikiwa kumfanya awe huru kiasi.

Maisha yangu ya kisela nimepanga chumba na sebule ko yeye shemeji analalaga sebleni na Mimi na mke wangu tunalala chumbani, basi Kuna siku nmeamka usiku, kufika sebleni nilikutana na kitu kilichonishangaza sana na ndicho kinachonisumbua mpaka leo (ndgu msomaji nilishuhudia upaja wa shemeji akiwa usingizini na shuka lilikiwa limemshuka kwa maana paja lilikiwa linaonekana mashallah shemeji yangu) basi nilibaki nmeduwaa nikishuhudia tukio hilo kwa takribani dakika 10 iv, badae nikaondoka zangu lakini kwa wanaume....washajua hali inavokuwa apo.

Kutoka siku hiyo nmekuwa nikimtazama shemeji yangu kwa jicho jingine kabisa, kwani amekuwa mkubwa sasa na anavutia sana kuanzia shepu (mzigo anao na chuchu dodo) na huo ndio udhaifu wangu kwake mpaka nashindwa kujizuia.

Mbaya zaidi yeye pia hajui kuficha alichojaaliwa, maana anavaa suruali imembana na kifuani hafichi chochote,, na muda mwingine anavaa kanga huku ndani najua kabisa ipo aidha chupi au taiti tu, ko nakula kwa macho mpaka nakosa ujasiri wa kumtazama pindi tukiwa pamoja na dadake, na dadake hajawahi kufikiria njia ya kumsitiri mdgo wake na Mimi siwezi kumwambia chochote maana atanielewa vibaya.

Kuna mda natamani aondoke pale nyumbani ili niokoe ndoa yangu lakini naanzia wapi ataona kama nachukia ndgu zake ikiwa alikuja kutusaidia kumlea mtoto wetu?
 
Kama utadhamiria kutoka moyoni kutotembea na huyo shemeji yako, utaishinda hiyo hali, na utamchukulia wa kawaida,kama shemeji, kama mdogo wako.

Tamaa ni kawaida,muhimu ni kuishinda hiyo tamaa. Kumwondoa ni suluhisho la muda, lakini akija shemeji au ndugu mwingine utamtamani, akija binti wa kazi utamtamani pia.

Haiwezi ikaja haraka kwamba kesho tu usiwaze kumtamani,lakini iambie na ishurutishe nafsi yako na kuipa sababu mara nyingi iwezekanavyo ni namna gani sio sahihi kutembea na shemeji yako.

Ni wakati sahihi kabisa wa kutengeneza nafsi yako isiwe mtumwa wa tamaa kama hiyo hata pale itakapojirudia.

Kila la heri.
 
Kama utadhamiria kutoka moyoni kutotembea na huyo shemeji yako,utaishinda hiyo hali,na utamchukulia wa kawaida,kama shemeji,kama mdogo wako.

Tamaa ni kawaida,muhimu ni kuishinda hiyo tamaa.Kumwondoa ni suluhisho la muda,lakini akija shemeji au ndugu mwingine utamtamani,akija binti wa kazi utamtamani pia.

Haiwezi ikaja haraka kwamba kesho tu usiwaze kumtamani,lakini iambie na ishurutishe nafsi yako na kuipa sababu mara nyingi iwezekanavyo ni namna gani sio sahihi kutembea na shemeji yako.

Ni wakati sahihi kabisa wa kutengeneza nafsi yako isiwe mtumwa wa tamaa kama hiyo hata pale itakapojirudia.

Kila la heri.
asante sana, maneno machache makubwa sanaa, umeeleweka mkuu!
 
habari wana jamii forum, natumain mu wazima.....naomba nisiwachoshe, mniruhusu niende Moja kwa moja kwenye mada...,.........
Ni miaka mitatu sasa tangu tumpate mtoto wetu wa kwanza, shemeji yangu ambae ni mdogo wake wa kike wa mke wangu alikuja kwa ajili ya kumsaidia kumlea mtoto, akitokea mkoani....akiwa binti mdgo na kama unavojua ndugu msomaji Binti kutoka bush kuja dar vile wanavokuwa, basi kwa ufupi hakuwa na mvuto wowote, basi tuliishi vizuri na nilimpenda sana kutokana na alikuwa mpole na mwenye heshima iliyopitiliza yaani nikiwepo nyumbani haongeagi na kadri muda ulivozidi kwenda nilifanikiwa kumfanya awe huru kiasi.
maisha yangu ya kisela nimepanga chumba na sebule ko yeye shemeji analalaga sebleni na Mimi na mke wangu tunalala chumbani, basi Kuna siku nmeamka usiku, kufika sebleni nilikutana na kitu kilichonishangaza sana na ndicho kinachonisumbua mpaka leo ( ndgu msomaji nilishuhudia upaja wa shemeji akiwa usingizini na shuka lilikiwa limemshuka kwa maana paja lilikiwa linaonekana mashallah shemeji yangu) basi nilibaki nmeduwaa nikishuhudia tukio hilo kwa takribani dakika 10 iv, badae nikaondoka zangu lakini kwa wanaume....washajua hali inavokuwa apo.... kutoka siku hiyo nmekuwa nikimtazama shemeji yangu kwa jicho jingine kabisa, kwani amekuwa mkubwa sasa na anavutia sana kuanzia shepu(, mzigo anao na chuchu dodo ) na huo ndio udhaifu wangu kwake mpaka nashindwa kujizuia.
mbaya zaidi yeye pia hajui kuficha alichojaaliwa, maana anavaa suruali imembana na kifuani hafichi chochote,, na muda mwingine anavaa kanga huku ndani najua kabisa ipo aidha chupi au taiti tu, ko nakula kwa macho mpaka nakosa ujasiri wa kumtazama pindi tukiwa pamoja na dadake, na dadake hajawahi kufikiria njia ya kumsitiri mdgo wake na Mimi siwezi kumwambia chochote maana atanielewa vibaya. Kuna mda natamani aondoke pale nyumbani ili niokoe ndoa yangu lakini naanzia wapi ataona kama nachukia ndgu zake ikiwa alikuja kutusaidia kumlea mtoto wetu!?
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi! Mpe anachotaka mapema halafu mwambie ajisitiri maana dada yake hana msaada kwenye mavazi!
 
Mabeki 3 na ndugu wa mke ni kama vile wana sumaku ya kunasa mimba, sasa jitusue ujitie matatani.

Inawezekana wewe mwenyewe ikawa hujijali utu wako ila jaribu kufikiiria familia ya mkeo na mfarakano utakaotengeneza pale akija kugundua umetembea na mdogo wake.
Usiruhusu starehe yako ya sekunde kadhaa ije kuharibu familia nzima na kuvunja undugu wa watu.

Yote hayo naongelea endapo amekukubalia, sasa jiulize fedheha utakayopata pale akikukatalia na kuhusisha ndugu zake, utaonekana mtu wa aina gani ukweni?

Wanaume huwa tunajidanganya kuwa zinatofautiana lakini ukweli dhamira ya kukojoa hutimia hata na mikono yako kukudhihirishia kuwa hakuna utofauti mkubwa baina ya haya mashimo.

Ushauri mkuu na wa mwisho tafuta njia huyo shemeji arudi alikotoka kabla hujaja kujuta maana bichwa la chini likdhamiria yake ni mpaka yatimie.

Tusipende kujaza watu majumbani mwetu ikiwa hatuna nafasi za kuwaweka. Sebule sio sehemu ya kulala mtu.
 
Weka akilini kuwa huyu ni mama mdogo wa mtoto wangu halafu focus na maish yako sasa hivi maisha ni magumu weka hiyo nguvu kwenye kazi maana haibadilishi hali yeyote . Kwa maana ukimtoa huyu ataletwa mwingine
 
Ndo maana hua naamini kwa miaka ya karibuni wanaooa ni watu wenye upeo mdogo sana!

Hv unafikiri mkeo hajui kwamba kwa jinsi mdogo wake alivo kwa sasa plus nyegemshindo zako utakua unamtamani?


Eb mfyatue bikra yake huyo binti🤣yaan mwanaume halisi hatakiwi kuomba ushauri wa tuvitu vitu tudogo kama hv....
 
Mabeki 3 na ndugu wa mke ni kama vile wana sumaku ya kunasa mimba, sasa jitusue ujitie matatani.

Inawezekana wewe mwenyewe ikawa hujijali ila jaribu kufikiiria familia ya mkeo na mfarakano utakaotengeneza pale akija kugundua umetembea na mdogo wake.
Usiruhusu starehe yako ya sekunde kadhaa ije kuharibu familia nzima na kuvunja udugu wa watu.

Yote hayo naongelea endapo amekukubalia, sasa jiulize fedheha utakayopata pale akikukatalia na kuhusisha ndugu zake, utaonekana mtu wa aina gani ukweni?

Wanaume huwa tunajidanganya kuwa zinatofautiana lakini ukweli dhamira ya kukojoa hutimia hata na mikono yako kukudhihirishia kuwa hakuna utofauti mkubwa baina ya haya mashimo.

Ushauri mkuu na wa mwisho tafuta njia huyo shemeji arudi alikotoka kabla hujaja kujuta maana bichwa la chini likdhamiria yake ni mpaka yatimie.

Tusipende kujaza watu majumbani mwetu ikiwa hatuna nafasi za kuwaweka. Sebule sio sehemu ya kulala mtu.
Hahahaa wana sumaku ya kunasa mimba?? kwamba ukigusa tu imooooo!!!
 
Back
Top Bottom