Klorokwin..................

Hahahahahah Dah........... lemme find my UPT haraka nije nikujibu hahah! Utakuwa tayari for Triplets aunties?!

Hii Mbu asiisome tafadhali.

Yeap hata uwalete zaidi! And I wish jibu lije in a positive way......hahahah hope Mbu atanenepa mara mia! (alafu nimemuona anajipitisha huku anatega sikio.......mjanja huyo lol)
 
Hahahah nimejinunulia kesi ati maana hapa nshaanzadaiwa majibu as if yeye ndo alisuggest! Makubwa

Haya Da Mkubwa ngoja nilale mie nikue loh! Ulale salama mydia.
 
Hahahah hiyo idara kubwa ati na inakaliwa na viongozi wawili tu ndo maana...lol!! Haya we pumzika mwaya, usiku mwema pia!
 
Kina AshaDii, Belinda J, Keren_Happuch, Lizzy, Afrodenzi, Dena Amsi, Shantel, Nemo......hawa nao siku hizi wameadikimika kweli! Na ukiwaona basi ni kwa kubeep kama cosmo rays from mars to earth!
 
Yeap hata uwalete zaidi! And I wish jibu lije in a positive way......hahahah hope Mbu atanenepa mara mia! (alafu nimemuona anajipitisha huku anatega sikio.......mjanja huyo lol)

.....duhh, triplets au zaidi? Kopo la Lactogen 1 16,000/= na mtoto mmoja anywa in 3days mjue...hapo bdo pampers!

Kha? nyota ya kijani upo wapi?;) hakuna kunenepa, hapo ni kudhoofu na kuukaribisha uzee na magonjwa ya mlipuko!
 
Nadhani kampeni zilimzidia mara ya mwisho alikuwa Arumeru sijui sasa yuko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom