Natafuta kazi, nipo Mbeya

Hemedy rashidy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
245
147
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali.

Kwa jina naitwa hemedy umri. wangu 25years

kwa sasa nipo mkoani mbeya ila home ni dar nimekuja mdogo wenu nna shida na kazi elimu yangu form 4

Mwenye connection yoyote ya kazii iwe hapa hapa mbeya au dar naomba asisite kunistuwa mdogo wake maana street pamekuwa pagumu mpaka tunaamuwa kwenda mikoanii labda tutapata connection lakini wapii namba zangu ni hizii 0762407301 BLESSINGS
 
Sogea mkoa wa Pwani kuna viwanda vingi sana ila malipo ni kati ya 7000 na 8000 kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali.

Kwa jina naitwa hemedy umri. wangu 25years

kwa sasa nipo mkoani mbeya ila home ni dar nimekuja mdogo wenu nna shida na kazi elimu yangu form 4

Mwenye connection yoyote ya kazii iwe hapa hapa mbeya au dar naomba asisite kunistuwa mdogo wake maana street pamekuwa pagumu mpaka tunaamuwa kwenda mikoanii labda tutapata connection lakini wapii namba zangu ni hizii 0762407301 BLESSINGS
Namba ya watu Dar na Mbeya Ni tofauti kwa maana Dar Kuna idadi kubwa ya watu .Nauri uliyotumia kutoka Dar kwenda Mbeya ilikuwa Ni mtaji tosha kabisa wa biashara ndogondogo ambayo ungeweza kuisimamia vizuri mpaka mtaji ukaongezeka ,kwa hapo Mbeya Kama unaweza kazi labda uende mbarali shambani wanakolima mpunga ukatafute mtaji uanze hata biashara ya chupi za kike itakuibua Tena uwapelekee manyumbani mwao usiwasubiri wateja barabarani.
 
Shukranii kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom