Klorokwin..................

Klorokwin..................

Mmh, gashi uli munhu?

Tulihoyi, nali Ngulyati onene.

Hahah kongosho umeniacha mbali....Hivi nayanga si ni wahaya? wasukuma hawasemagi nalema?? hata sijui jamani nshasahau lugha hizi
 
Ha ha ha, haya bwana.

Hata hivyo umejitahidi kuandika ile sentesi kule juu.

Hahah kongosho umeniacha mbali....Hivi nayanga si ni wahaya? wasukuma hawasemagi nalema?? hata sijui jamani nshasahau lugha hizi
 
kweli nimewamiss sana hawa watu.

GM, alionekana kidogo wakati wa pasaka naona kishaondoka tena.

kongosho umeona eh mpenzi........yaani hawa watu wamepotea na ladha ya JF mapenzi na mahusiano na chit chat
Afu jamani Golden Mpolee hajafunga shule bado?? Nimemiii!!
 
Hapo umechapia...hi hi hi..wenyewe wanasema nalemaga nkoi/gheteghete!.

Yegomasika si ndo nimeshtuka? nimekumbuka nayanga ni kina mshomile baitu kule kwetu tunasemaga nalemaga.....hahahah mashkilo mageni bhamawe!
 
MJ1 Mzima wewe? Alafu mlipotea pamoja... Isije hii ikawa changa la macho...lol. If you know what I mean...
 
Badili Tabia hahahahah nimechekaje, haya bana nimemiss vituko vyake...................... anavyonshushuaga

Hata Bubu Ataka Kusema (BAK) naye kapotea............

Amekuwa bubu baada ya kuona mambo hayaeleweki nji hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom