Klorokwin..................

hehehe usjali shem langu la pekee ambalo halitumii karolaiti (hapa namaanisha MJ1 tu), wamenipa u mod wa google bana sasa hapa 24/7 tunaedit mawebsite likiwemo hili la JF, juzi tu niliona PM ya Mbu anamuimbia love song blaki woman (niliiona kupitia huku google). Na huku tuna uwezo kabisa wa kumban hata mod wa JF kama hajafuata sheria za google, kwahiyo shem mods wakileta za kuleta niPM.

Baada ya shukrani hizo fupi kwa shem langu MJ1 napenda nitoe shukrani pia,

Kwa niaba ya waifu wa jirani yangu ambae hataki kupima ukimwi
Kwa niaba ya mwanajeiefu ambae kanisingizia mimba bila kulala nae
Kwa niaba ya Biharusi wa juzi hapa kitaani ambae kapaka lipustiki ya mkopo
Kwa niaba ya wagonjwa wa harufu mbaya kinywani
Na mwisho kwa niaba ya mshkaji wangu hapa ambae ana kigugumizi lakini kashukiwa na miujiza na sasa anatongoza bila kigugumizi.

Naomba niwashkuru nyote kwa jumla na kuwajulisha tu kwamba ni kweli nimepotea na nitaendelea kupotea kiduuuchu kutokana na majukumu ya google.

Nawamiss warembo wote wa JF, hii midume naimiss kiunafiki nafiki tu,
salam zake fello tablet na kongosho baada ya kula ki fifty sauzend cha JF man of ze year bila kunishirikisha.

Najuta....Shemeji mie nlikuwa nakutafuta weye sikutaka kuitafuta Presha bana.......hiyo PM ya Mbu utakuwa umekosea kuona vizuri, alikuwa yu aituma kwangu mie!

Haya fasta basi malizia hiyo hanemuni yako uje tudiscuss mahari eh, nimechoka kukopwa mie (Deni likiwa kubwa Mbu atashindwa kulipa ati)

Afu hizo salamu zako!? Khaa huyo mke wa jirani yako kwa nini wamshurutisha akapime ukimwi, wamtakiani lakini?
 
......khaaa?!!!!!.....

Aisee lawyer wangu mbona wamwaga
Mtama kwenye kuku wengi tena bana.....
Whr's ur code of practice bana?
Amekosea tu huyo Lawyer wako, usipanick my Soulmate! Kwanza sijaona ameandika nini vile?
 
Amekosea tu huyo Lawyer wako, usipanick my Soulmate! Kwanza sijaona ameandika nini vile?

....utamuweza klorokwini, ati bi harusi kapaka lipstick ya mkopo....hizo verse kwenye lyrics za blaki woman naona kama 'mbayuwayu' changanya na za ile charanga ya Carlos Santana
 
....utamuweza klorokwini, ati bi harusi kapaka lipstick ya mkopo....hizo verse kwenye lyrics za blaki woman naona kama 'mbayuwayu' changanya na za ile charanga ya Carlos Santana

mbu nasubiri uning'ate nimeze klorokwin nishushie asprin......
 
....utamuweza klorokwini, ati bi harusi kapaka lipstick ya mkopo....hizo verse kwenye lyrics za blaki woman naona kama 'mbayuwayu' changanya na za ile charanga ya Carlos Santana

Yaani kwamba kakopa lipstick siku ya arusi? mwe! Ana visa huyu, tena visa vya kwapa shemeji yangu huyu.
 
Kumbe nyie mkiwa pamoja ndo mnasusa jamvi eeh? Haya mmetengeneza zaigoti wangapi? Lol......mie kazima sana tu, sijui nyie na huko kujificha kwenu?
Hahahahahah Dah........... lemme find my UPT haraka nije nikujibu hahah! Utakuwa tayari for Triplets aunties?!

Hii Mbu asiisome tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom