KLH News On Saturday...

KLH News On Saturday...

nitakuwa ninawapa clue before the time... for now.. you know his name! (siyo Karamagi so take him out of your equations)

Alikuwa kiranja mkuu sio? One or two guesses...bado masaa machache nitasubiria wakati naangalia mechi ya Nerazzurri na I ciucciarelli..
I hope ni LOwassa(atueleze na sisi tutapataje huyo sungura)
 
Ni kiongozi katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa ngazi za juu... ( I have no idea what I meant but when I read it it sounded funny!)
 
Naona unatuletea Mzee Wakawaka au Mzee wa kirarachi.
 
Mkjj, tutajie basi huyo mgeni wako! Sasa hivi nakaribia kufika Tosamaganga baada ya safari fupi ya siku mbili huko Makambako.

Tuambie bana, celtel yangu bomu sana hapa inaweza kukatika wakati wowote..

SteveD.


Mbona umeomba music na umetambulishwa kama unaomba tokea USA? Au hata huko majuu kuna Makambako?

Naona Nyani wetu anapenda reggae kweli kweli
 
Kati ya Salma Kikwete au Regina Lowasa. Si unajua Rais Jakaya Kikwete aliwapa kazi maalumu? Sasa hawa ni viongozi wakuu wa kitaifa katika serikali.

Asha
 
Mbona umeomba music na umetambulishwa kama unaomba tokea USA? Au hata huko majuu kuna Makambako?

Naona Nyani wetu anapenda reggae kweli kweli

Mtanzania, Hapana.
Ni Makambako ya kweli kweli, na sasa naelekea Tosamaganga, kesho nitakuwa Lugalo na pale Frelimo mjini Iringa. By the way huko UK wewe uko wapi, miye nilibahatika kufika huko na kutembea tembea sehemu kadhaa mwishoni mwa miaka ya tisini (1998 -2000)...

SteveD.
 
Ndani ya dakika chache zijazo nitakuwa na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe. Mohammed Seif Khatib (MB) kwa maojiano ya moja kwa moja toka jijini Dar..
 
Haya Mwanakijiji amesahau ahadi. Mswahili alisema ahadi ni deni, haya tutaliongelea hilo baadaye.

Ngoja tusikilize sasa huyu mgeni wa Mwanakijiji. ambaye tutampata kuanzia I hope baada ya muziki huu.
 
Mkjj: Swali langu la kwanza kwake ni linahusu wahariri wa magazeti na bahasha wanazopokea... : Je, wizara imeandaa mikakati gani kutokomeza hizi rushwa mamboleo kwa ajili ya tu ya kusafisha wachache?!

SteveD.
 
endeleeni kumwaga maswali hapa na nitauliza yote nitakayoweza
 
Mtanzania, Hapana.
Ni Makambako ya kweli kweli, na sasa naelekea Tosamaganga, kesho nitakuwa Lugalo na pale Frelimo mjini Iringa. By the way huko UK wewe uko wapi, miye nilibahatika kufika huko na kutembea tembea sehemu kadhaa mwishoni mwa miaka ya tisini (1998 -2000)...

SteveD.

Ukija tena nitafute, niko jijini kasoro bahari
 
Kumbe ni Katibu? Msanii mwingine. Anaweza kufananishwa na yule waziri wa information wa Saddam
 
Ukija tena nitafute, niko jijini kasoro bahari

Morogoro ya UK mbona miye siifahamu hiyo tena, naomba unifafanulie tafadhali... kuna ka trip kamoja nanyemelea mwakani mwezi wa pili.... ni PM kama hutotaka waosha vinywa wakurupuke kwa maneno alfu!

SteveD.
 
Back
Top Bottom