KLH News Alert Exclusive: "Raia Mwema" Mtaani Oct. 31 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KLH News Alert Exclusive: "Raia Mwema" Mtaani Oct. 31

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 21, 2007.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 21, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Gazeti jipya kabisa la Kiswahili linatarajiwa kuingia katika vibanda, maofisi, na mitaa ya Tanzania kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu. Jarida hilo la "Raia Mwema" litakuwa na habari mbalimbali zikiwemo za uchunguzi, utafiti, siasa, biashara, maoni n.k Jarida hilo liitwalo "Raia Mwema" limeanzishwa kutokana michango ya hali, mali, na vipaji ambavyo vimekusanywa chini ya Mhariri wake Mtendaji John Bwire

  Kuanzishwa kwa jarida hilo ni alama ya kuvunjika rasmi kwa ndoa ya gazeti lililosifika sana nchini miaka hiyo la "Rai".
  Waandishi waanzilishi wa gazeti la Rai - ukiondoa Dr. Shoo na Salva - na waandishi wengine ndani na nje ya Tanzania wamefikia uamuzi wa kuanzisha gazeti hilo wakizingatia haja ya kupanua uhuru wa maoni, habari na mawazo na kuchangia kwa namna ya pekee kuhamasisha kizazi kipya cha "Raia Wema".

  Gazeti hilo litajumuisha waandishi mbalimbali wakiwemo:

  Jenerali Ulimwengu
  Issa Shivji
  Padre Karugendo
  Prof. Haroub Othman
  Maggid Mjenga
  Joseph Mihangwa

  na wenu mtiifu, na wengine wengi ambao mtapata bahati ya kusoma kazi zao kwenye gazeti hilo ambalo litapatikana pia kwenye mtandao wakati huo.

  Napenda kutoa pongezi kwa ushirikiano wote wa wale ambao wamewezesha gazeti hili kupata mtaji, kibali, na nyenzo za kutendea kazi.. Natarajia kuwa toleo la kwanza litaiweka fani ya uandishi katika ngazi nyingine kabisa nchini.

  Tafadhali copy na watumie wabongo walioko kwenye orodha yako ya anuani.

  Ndugu yenu,

  M. M.
   
 2. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Haya Mzee mtiifu weka mambo. Good work, unafahamu unapofanya kazi nzuri usingoje kulipwa hapa duniani.
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..tulikuwa tumeshakosa yale tuliyohitaji kwenye rai!

  ..hiyo list hapo inaashiria kwamba habari makini zitaendelea kupatikana!

  ..kazi nzuri na kila la heri!

  ..tanzania inahitaji raia watiifu kwa maslahi ya nchi yao!
   
 4. E

  Engineer Mohamed JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2007
  Joined: Jul 27, 2007
  Messages: 461
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  mmkjj.....

  gud job,kuweni makini msije mkafa kifo cha mende.
   
 5. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  wataanza vizuri na kwa vishindo then itakuwa kama magazeti ya kawaida. Lakini thats a good start though.
   
 6. M

  Masatu JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mwkjj hilo gazeti litakuwa daily, weekly, bi-weekly, monthly or what?
   
 7. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hiyo orodha ya waandishi wa gazeti hilo imetulia. Naamini tutapata mengi.. keep on!
   
 8. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2007
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii ni habari njema kwa kweli. In July 2007, I went back to my beloved country Tanzania to greet the sons and daughters of the land. I bought "RAI" thinking it was carrying the same weight it used to have, Loh! what a disappointment. Welcome "RAIA MWEMA"
   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji,

  Hongera kwa juhudi zenu za kuanzisha gazeti. Ushauri tu, jieupusheni na wanasiasa wa pande zote. Mkitaka kuliua gazeti lenu baada ya muda mfupi basi kuweni BIASED kwenye haya mambo ya siasa.

  Mkitumia usemi wa FMES, "Kumkoma Nyani Giladi" naona mtafanikiwa.

  Jambo baya ni baya tu bila kujali limefanywa na CCM au Upinzani, huo ndio msimamo ambao baadhi yetu tungetaka magazeti ya maana TZ yaufuate.

  Mafanikio mema.
   
 10. M

  MC JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ninahakika litapendwa sana, kwa sababu watu walio kwenye gazeti hilo si mchezo
   
 11. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2007
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Hii ni habari njema. Kipaji cha Ulimwengu na umahiri wa akina Shivji na Othman ni vema umepata platform.

  Nimepata hisia kwamba Rostam kanunua mbuzi kwenye gunia.
   
 12. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
   
 13. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2007
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  Hio orodha ya wachangiaji inavutia sana, nadhani litakuwa ni gazeti makini sana. Ila sasa Mwanakijiji hujasema kama ni la kila siku ama la kila wiki.
  Tupo tayari kulipokea.
   
 14. M

  Masatu JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Need I say more?
   
 15. N

  NakuliliaTanzania JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 560
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 16. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Balile ni mwandishi mzuri sana na pengine angeweza kuwa mmoja wa waandishi waanzilishi lakini sijasikia kwenda huko zaidi ya kusikia kwamba anakwenda kuimarisha Mtanzania kwa kushirikiana na rafiki yake Manyerere Jackton. Balile angefaa sana Raia Mwema kwa kuwa ana historia ya kuanzisha gazeti na kufanikiwa. Balile alikua katika timu iliyoanzisha Mwananchi kwa shida sana na baadaye katika Tanzania Daima. Mengine ambayo si dhahiri hayana nafasi hapa kama ambavyo mwenyewe hakupenda kuyataja, ila kuna mengi yaliyomsukuma kuondoka Tanzania Daima na kwenda Mtanzania. Kwa nia ya kujenga si vyema kujadili sababu za kuondoka kwake zaidi ya kumpongeza na kumtakia kila la kheir ili aweze kutekeleza majukumu yake mapya. Sitashangaa pia kama hatakwenda Mtanzania na akapewa majukumu mengine muhimu zaidi kwani ANASTAHILI na ana UWEZO. Udhaifu mwingine wa kibinaadamu HAUKWEPEKI
   
 17. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2007
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kila la heri Mtoto Raia Mwema, nakuombea ukue ukomae haraka kwani uwezo huo unao kutokana na waandishi husika.
  Lakini isuje tokea umekomaa wakatokea kina RA wengine wakakununua kwa bei ya juu kwa ajili ya maslahi yao 2010.
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Oct 21, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Halisi nashukuru kwani nilipata correction hiyo late last night too.. ni kweli Mhariri Mtendaji ni John Bwire. Mtanzania, ondoa shaka we are professionals na tunajua maadili ya uandishi wa habari. Ni kweli tuna misimamo tofauti lakini utii wetu wa kwanza kama raia ni kwa Tanzania na Tanzania peke yake!!
   
 19. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #19
  Oct 21, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hope this time hawatanunuliwa kirahisi na akina Rostam and the like!
   
 20. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2007
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Akina RA waliweza kulinunua RAI baada ya kumtia jambajmaba na kumsukasuka Generali Ulimwengu kwamba si rai kwa vile aliwa lia deep kwa hoja zake nzito zenye ushahidi wazi.

  This time sidhani kama mtu kama RA ataweza kulinunua Raia Mwema hasa ukizingatia hali halisi ya kisiasa Tanzania

  Kijiko chaitwa kijiko na Chepeo haliitwi kijiko kikubwa.

  Mimi binafsi niko nyuma ya waheshimiwa hawa hata kabla sijaanza kusoma watarajiacho kukiandika.

  Mungu Ibariki Tanzania na Watanzania.
   
Loading...