KLH Exclusive:Mhe Anne Kilango Malecela Alonga!

Huyu mama ni mmoja kati ya wabunge wachache wa CCM ninaowakubali. Hongera Mwanakijiji kwa kufanya nae interview. Huyu mama anawafanya baadhi ya madokta na maprofesa yaliyojazana kule bungeni kupitia CCM kama kindergarten vile kielimu, kwa kuchanganua hoja na kusimamia maslahi ya nchi.

Kwa hoja hii ningelikuwa mmojawapo, basi ningeliomba kuaga bungeni na kurudi vyuoni.

Anyway sijui mtu kama ana Elimu kama hiyo,na hana uwezo wa kuongea/kusaidia wananchi kwa manufaa ya umma, kwa nini aende huko?

Next time itabidi tuanze kuwataja majina na kuangalia mchango wa kila mmoja tangia aingie bungeni.
 
Tunaanza na Prof Msolla ambaye ufisadi wake uko wazi. Hafai hata kurudi chuoni maana atawaambukiza vijana wetu ufisadi.
 
Tunaanza na Prof Msolla mabye ufisadi wake uko wazi. Hafai hata kurudi chuoni maana atawaambukiza vijana wetu ufisadi.

kwi kwi kwi...

Hapa nakubaliana kabisa nawe.... Msolla inabidi apelekwe kwenye shamba la nazi la kijiji cha maendeleo na afanyishwe kazi "aliyosomea" for the rest of his life.
 
Swali dogo tu: Huyu Mama wakati wa Mkapa alikuwa mbunge? Aliwahi kutoa hoja zinazoweza kukumbukwa,au ameibuka ghafla ktk awamu hii ya Muungwana?
 
sijasema chochote kuhusu dhamira yake ila nimesema vitendo vyake... ninaongelea kuhusu kile anachofanya na sio kile anachofikiri..... Get it?

Tuna maneno ya huyu mama kama recosrd siku akipewa uwaziri akakaa kimya tutamrudia. Ila naamini kelele zake ni za dhati. Pia tunaelewa kuwa unapokuwa waziri jukwaa la kupiga kelele linapungua ila sio linakufa.Atakapoamua kukaa kimya atakuwa ameamua kufanya hivyo kwa hiari yake, kwani hakuna sehemu inayosema collective responsibility ni katika kuliibia Taifa. Hii inakuja pale tu mnapokuwa mmepitisha maamuzi fulani kama baraza la mawaziri then matokeo yake katika utekelezaji yanakuwa sio mazuri hapo ndo kuna collective responsibility.
Mpaka sasa bado nina imani sana na huyu mama hata kama atapewa uwaziri unless she prove otherwise. Yeye alitamka bungeni kuwa maslahi ya Taifa yanakuja mbele kabla ya chochote na yuko tayari kumtosa yeyote.

Tunaona Israel waziri wa ulizi akimwambia waziri wake mkuu akae pembeni kwa kuwa unatambua aihusiani na collective responsibility.
 
Time will tell. Nadhani tulipe muda hili, tutakuja kujua upande upi wa ukuta alioko huyu mama.
Kwa kuongeza tu, nakubaliana na wewe, jitihada anazoonyesha ni mwanzo mzuri "regardless of" dhamira yake.

Namkodolea tu huyo mama kama kweli anamaanisha anachoongea au ndiyo mambo ya kisasi ya 2005
 
Acording to the dataz tulizozipata sasa hivi ni kwamba, Mtikila leo alitangaza kumburuza mahakamani Mkapa, lakini wabunge wa ccm wanaopania kumfikisha huko wamemuomba Mtikila awaachie maana akifanya hivyo hawatapata nafasi kama ya sasa ya kumtesa na Mtikila amekubali kuwapa nafasi under one condtion kuwa wasipomkoma nyani yeye atafanya!

Baadaye wakuu niko safarini!, nilisimama kidogo tu!
 
Namkodolea tu huyo mama kama kweli anamaanisha anachoongea au ndiyo mambo ya kisasi ya 2005

Asante kwa kukataa kudandia mkokoteni bila ya kuuliza unaelekea wapi.

Mama Mbunge Malecela anakuja kusema ni kwa nini Kikwete kweli anataka mabadiliko.

Kama umewahi kuswalisha nia ya Kikwete pale anapoteua mara mbili mbili wakina Chenge, na kina Mkullo, na kina Ndullu (deputy wa mtu uliye mfukuza anapewa hiyo kazi), na kuwaambia Viongozi wasiogope kuitwa Mafisadi, wakati tunafundishwa siku zote kwamba msingi mmoja wa Public Ethics ni kuepuka even the appearance of corruption; kama umewahi kushuku nia ya Kikwete, huyu Mama basi nae ingebidi ugutuke kidogo, halafu umsikilize kwanza.

Nimewahi kusikia wengi wakionyesha imani ndogo juu ya nia ya Kikwete, na nikashtuka kusikia leo wana muunga mkono Mama Mbunge wakisema "Mimi niko impressed na watu mara chache sana.. this is one of those times."

Mkodoleaji, na mimi nasubiri kabla sijapanda gari la Mama Mbunge, nikiwaangalia kwa makini Makondakta wake!
 
Kuhani Mkuu.. ungekuwa umesikiliza mahojiano yenyewe basi ungekuwa na haki ya kurusha dongo hilo... but of course you can't wait to pass judgement..
 
shaka yangu ni kuwa kama anayoyasema yanatoka ndani ya nafsi kwa dhati au anasaka nafasi. Alishawahi kuwa waziri, labda kaokoka.....

Ila kwa mtazamo wangu namwombea awe na msimamo huohuo hata wakimrejesha ktk kabinet (kipimo ca uzalendo).

Mwanakijiji nasubiri mahojiano
 
Nimehakikishiwa kuwa ingawa matangazo ya KLH yatarushwa kesho mahojiano yenyewe nyumbani yatatoka kwenye Gazeti siku ya Jumamosi.
 
Kuhani Mkuu.. ungekuwa umesikiliza mahojiano yenyewe basi ungekuwa na haki ya kurusha dongo hilo... but of course you can't wait to pass judgement..

Mwnkjj,

Wewe umesha msikiliza. Na tayari umesha mu endorse. Kwa hiyo chochote nitakacho sikia Ijumaa, mwisho wa siku una mu endorse. Ume endorse mtu anaesema Kikwete ana nia ya kweli kuleta mabadiliko wakati kuna paper trail ndefu inayoonyesha mwelekeo wako unaoswalisha nia ya Kikwete.

Nimekosea wapi ku point out contradiction kati ya mawazo ya uliye mu endorse na mawazo yako yaliyoko kwenye rekodi?

Hata hivyo, naomba tu suspend hii sub topic ya endorsement yako kwa Mama Mbunge mpaka Ijumaa!
 
Mkuu Kuhani

Nafikiri kuwa Mwanakijiji anapokuwa anatuletea habari hapashwi kuleta msimamo wake anapashwa kuleta taharifa kama alivyo ipokea ni sisi wasikilizaji wenye maamuzi ya kuchagua kama kilichoongewa ni sahii au la.
 
sijasema chochote kuhusu dhamira yake ila nimesema vitendo vyake... ninaongelea kuhusu kile anachofanya na sio kile anachofikiri..... Get it?

tatizo ni kwamba alikuwa wapi miaka yote mpaka sasa ndio muone anachofanya ni kizuri ni kama si unafki huo anaofanya she has been there for quite a while now ghafla tu mama kaibuka na kuwa na machungu na nchi sasa ni kweli ana machungu na nchi ama anamachungu na mengine?????????????????
 
Mkuu

Labda nikukumbushe kuwa si yeye tu kipindi kilichopita cha Mzee Mkapa kilikuwa kipindi kigumu sana. Kilikuwa kipindi cha mafisadi. Ilikuwa ni vigumu wabunge wa CCM kukohoa.

Sasa ni kama wamepata pa kukooa, ebu niambie Mbunge yeyote wa CCM aliyeweza kuinua mdomo kipindi hicho.

Mimi niliona kipindi cha EL anaachia kiti dodoma,naamini huyu mama kwa sasa anastahili pongezi kwa ujasiri anaoonyesha.
 
tatizo ni kwamba alikuwa wapi miaka yote mpaka sasa ndio muone anachofanya ni kizuri ni kama si unafki huo anaofanya she has been there for quite a while now ghafla tu mama kaibuka na kuwa na machungu na nchi sasa ni kweli ana machungu na nchi ama anamachungu na mengine?????????????????

jamani sometime tuwe appreciative, kusipokuwa na wa kusema tunalalamika, na mtu akiamua kujifunga kibwebwe kusema bado haturidhiki, sasa lipi jema sie, mbona tunakuwa viumbe wazito sana.
 
Mkapa Best Yake Yona Huyu Mama Na Yona Hawaivi Japo Kipindi Yona Alikuwa Anamchukua Akamtelekeza Sasa Issue Zinakuja Hadi Kwenye Ubunge Yona Na Kilango Walichezeana Faulo Wanatoka Kumoja,pia Mkapa Walimfanyia Usiku Bakulutu Malecela Kwenye Uraisi Sasa Mama Atahakikisha Hakuna Jiwe Juu Ya Jiwe
 
Hata kama ilikuwa vipi kwanini hawakumaintain usafi wakati wanawafanyia wenzao faulu. Wanasema kutesa kwa zamu
 
Mkapa Best Yake Yona Huyu Mama Na Yona Hawaivi Japo Kipindi Yona Alikuwa Anamchukua Akamtelekeza Sasa Issue Zinakuja Hadi Kwenye Ubunge Yona Na Kilango Walichezeana Faulo Wanatoka Kumoja,pia Mkapa Walimfanyia Usiku Bakulutu Malecela Kwenye Uraisi Sasa Mama Atahakikisha Hakuna Jiwe Juu Ya Jiwe

pamoja na hayo yao wenyewe, antusaidia wananchi wake kama mwakilishi bungeni na hasa wale wanyonge wanatozwa kodi kila siku ili kuwanenepesha mafisadi Yona na Mkapa pamoja, hajaenda kumuwakilisha Yona wala Mkapa. Anne fanya tu hata kama unafanya kwa bifu madhali unasema ukweli, sema yote mama wananchi na Mungu watakuwa pamoja na wewe.
 
Back
Top Bottom