KLH Exclusive:Mhe Anne Kilango Malecela Alonga!

Huyu Mama Anaviasila Vyake Si Halisi,akina Mkapa Walimpoka Ubunge Ubungo Wakampa Shemeji Ya Yule Jamaa Aliyejuwatanzania Masikini Alipokwenda Havard Duu Uraisi Wa Tz Simple Kweli
 
Mwnkjj,

Wewe umesha msikiliza. Na tayari umesha mu endorse. Kwa hiyo chochote nitakacho sikia Ijumaa, mwisho wa siku una mu endorse. Ume endorse mtu anaesema Kikwete ana nia ya kweli kuleta mabadiliko wakati kuna paper trail ndefu inayoonyesha mwelekeo wako unaoswalisha nia ya Kikwete.

Nimekosea wapi ku point out contradiction kati ya mawazo ya uliye mu endorse na mawazo yako yaliyoko kwenye rekodi?

Hata hivyo, naomba tu suspend hii sub topic ya endorsement yako kwa Mama Mbunge mpaka Ijumaa!


nimesema ni kitu gani kimeniimpress? Ni wewe unayechukulia manano yangu ya kuwa impressed na kauli yake moja ya yeye kumtetea Kikwete. Na cha kushangaza ni kuwa umechukulia maneno yangu kama endorsement ya kwake binafsi, kama muuza dagaa sina budi kupigia debe dagaa wangu.. ulitaka nisema "I was not impressed"?
 
tatizo ni kwamba alikuwa wapi miaka yote mpaka sasa ndio muone anachofanya ni kizuri ni kama si unafki huo anaofanya she has been there for quite a while now ghafla tu mama kaibuka na kuwa na machungu na nchi sasa ni kweli ana machungu na nchi ama anamachungu na mengine?????????????????

hivi watu hawana haki ya kubadili mawazo? Hivi watu hawawezi kukaa chini na kusema "I need to change"? Hivi mtu kama hakufanya kitu fulani huko nyuma basi asifanye kama anaona sasa ni wakati muafaka, au amepata mtazamo mpya? Ndio maana nilisema mahali fulani, hakuna anayezaliwa fisadi, lakini mtu aweza kufa fisadi!
 
Mkuu Kuhani

Nafikiri kuwa Mwanakijiji anapokuwa anatuletea habari hapashwi kuleta msimamo wake anapashwa kuleta taharifa kama alivyo ipokea ni sisi wasikilizaji wenye maamuzi ya kuchagua kama kilichoongewa ni sahii au la.

Kakindomaster,

Sasa hapo unamweka kwenye kona mwenzio kwa sababu yeye ndio aliye mu endorse Mama Mbunge!

Kwa hiyo inabidi Mwanakijiiji aji distance na endorsement yake kwa Mama Mbunge halafu aje tena aji distance na endorsement yako kwake yeye, kwa sababu unazidi kumuingiza kwenye controversy. Kwamba hakutakiwa ku endorse kama mleta habari (according to you!) LOL!
 
Sasa hapo unamweka kwenye kona mwenzio kwa sababu yeye ndio aliye mu endorse Mama Mbunge!

Kwa hiyo inabidi Mwanakijiiji aji distance na endorsement yake kwa Mama Mbunge halafu aje tena aji distance na endorsement yako kwake yeye, kwa sababu unazidi kumuingiza kwenye controversy. Kwamba hakutakiwa ku endorse kama mleta habari (according to you!) LOL!

Hapana hapa tuko sawa mkuu na pia yeye yuko sawa yeye anachokifanya ni kutufanya sisi tuwe tayari kumsikiliza. Angesema hajawa impressed, ni kwamba hata hakuna mtu angetumia muda wake kuja kumsikiliza.Angeacha kuweka chochote pia tusingelikuwa na uhakika kama tumsikilize au la.

Hiyo ni kama ametuvutia tukaribie tutakapomsikia ndipo tutajua kinachoendelea.
 
Mwanakijiji unaingia na gea mpya naona hata avatar ni mpya .... .....Je maoni?
 
Ninaomba kusema hivi, recently kumezuka tabia ya kuacha kutoa hoja na kugusa mambo ya wake za watu hapa JF, na maneno ya kashfa zisizokuwa na ukweli, sasa ninaomba kusema hivi wale mnaotaka kwenda hiyo avenue muwe makini, maana wake zenu wanajulikana na tabia zenu nje ya wake zenu zinajulikana tena sana, sasa ninawaomba muwe waangalifu sana kwenye hiyo avenue ya wake za watu ambazo hamna uhakika, maana zitawekwa za kwenu zenye uhakika, halafu hatutaelewana hapa, na zitafikishwa kwa wake zenu na nyinyi mtaruhusiwa pia kufanya hivyo yaani kufikisha habari mnazozijua za wengine kwa wake zao!

Tena naomba niweke wazi one thing, mimi nimeoa mwaka 1995, mpaka leo ninaishi na mke wangu na tuna watoto wawili, sasa anyejua mwanamke yoyote niliyewahi kutembea naye nje ya mke wangu ninampa ruhusa amuambie mke wangu tena anytime, na pia anyemjua mwanamke yoyote niliyewahi angalu kumtongoza tu amuambie mke wangu ata anytime, halafu anipe na mimi hiyo nafasi ili nimuambie mke wake mambo yake, au nimuambie ya mke wake yote, na yeye aniambie ya mke wangu yote, hoja hujibiwa kwa hoja, kama pamewashindeni hapa kaeini pembeni, mjadala ukiisha huwa tunasonga mbele, hatuangalii ya jana, kuna tuliozaliwa na debate vinywani mwetu, ukiuliza watu tulioenda nao shule watawaambia kuwa hata shuleni waalimu walikuwa wakikimbia, waziri au kiongozi mgeni akija sule tulikuwa tunapewa free pass kwenda mjini tusiwepo kwenye mkutano na mgeni, wengine siasa tumezaliwa nazo tumeona watu wanotuhusu wakitukanwa toka tukiwa watoto kwenye siasa, kwa hiyo tumezoea, lakini kuna manoonekana kutokuwa na huo uwezo wa kustahimili, sasa mnaanza kupotea ndugu zangu,

Binafsi ninaishukuru sana hii forum kwa kunisaidia kuwaelewa watu wanafiki, wengi tu ambao nilifikiri ni watu wema kumbe sio, na wote nimewa-down load tayari, na kama kuna aliyeniona in that way kwangu ni sawa, lakini pia hapa forum nimekuatana na watu wema na wazuri na thanks God kwa kunipa nafasi ya kuwafahamu, lakini tukianza wake zetu na familia, asije akalia mtu wakuu, maan wengine tuna mpaka concrete evidence huwa tunaziweka incase!

Mbunge shujaa Anne Kilango Malecela, sidhani kama anahitaji endorsement ya anybody hapa kuendelea na kazi yake ya wananchi, waliomtuma bungeni, mbona sometimes tunapenda kujipa madaraka tusiyokuwa nayo?

Wenginew tunamuombea tu aendelee salama na Mungu ampe maisha marefu na msimamo alio nao na wabunge wengine kama Zitto, Slaa na Mwakyembe.

Mama Kilango alikosa ubunge wa Ubongo, lakini Mkapa akampa wa bure, unless kuna something sielewi!
 
Ninaomba kusema hivi, recently kumezuka tabia ya kuacha kutoa hoja na kugusa mambo ya wake za watu hapa JF, na maneno ya kashfa zisizokuwa na ukweli, sasa ninaomba kusema hivi wale mnaotaka kwenda hiyo avenue muwe makini, maana wake zenu wanajulikana na tabia zenu nje ya wake zenu zinajulikana tena sana, sasa ninawaomba muwe waangalifu sana kwenye hiyo avenue ya wake za watu ambazo hamna uhakika, maana zitawekwa za kwenu zenye uhakika, halafu hatutaelewana hapa, na zitafikishwa kwa wake zenu na nyinyi mtaruhusiwa pia kufanya hivyo yaani kufikisha habari mnazozijua za wengine kwa wake zao!

Mbunge shujaa Anne Kilango Malecela, sidhani kama anahitaji endorsement ya anybody hapa kuendelea na kazi yake ya wananchi, waliomtuma bungeni, mbona sometimes tunapenda kujipa madaraka tusiyokuwa nayo?

Wenginew tunamuombea tu aendelee salama na Mungu ampe maisha marefu na msimamo alio nao na wabunge wengine kama Zitto, Slaa na Mwakyembe.

Mama Kilango alikosa unbunge wa Kimara, lakini Mkapa akampa wa bure, unless kuna something sielewi!
Nadhani ulikuwa unamaanisha ubunge wa Ubungo siyo Kimara.
 
I hope umenielewa kwenye the big picture, na ni kweli ni Ubungo na sio Kimara kama ulivyosema, lakini ninaamini kuwa nimeeleweka on the big picture!
 
Kuhani Mkuu.. ungekuwa umesikiliza mahojiano yenyewe basi ungekuwa na haki ya kurusha dongo hilo... but of course you can't wait to pass judgement..

Mwanakijiji wenzio huku tunamkodolea kila siku katika hotuba zake. Na tunapomkodolea wakati anaongea hadi povu linatoka kichwani halafu anashindwa kumsema mtu kama muungwana tunapata wasiwasi na lengo lake hasa. Ni kweli unavyosema kama tungepaswa kumsubiri kwanza ahojiwe. Lakini kama wengine tulivyoumbwa tunaendelea kukodolea tu kinachoendelea maana Tanzania tunajiona movie kila siku mafisadi kujifanya wanapambana na mafisadi. Tuendelee kukodolea tu
 
I hope umenielewa kwenye the big picture, na ni kweli ni Ubungo na sio Kimara kama ulivyosema, lakini ninaamini kuwa nimeeleweka on the big picture!

Lakini baadhi yetu hatumuongelei Mama AKM kama MKE wa mtu. Hilo moja; la pili, Nchi yetu imeanza kutafunwa kwa nguvu sana baada ya Mwalimu kufariki na huyu Mama ameingia Bungeni kwa KITI MAALUM wakati Nchi inatafunwa kwelikweli! Hakusema kitu wala kuukataa uteuzi wa waliokuwa wakiitafuna Nchi yetu. Ninachokiamini mimi: UZALENDO na UADILIFU mtu HUZALIWA navyo, HAVIZUKI wala KUUNDWA.
 
Nina wasi na huyo mama kweli ana uchungu na nchi hii au ana uchungu na wachezaji wenzake...waliwachezea mbaya wakati wa kampazi ndani ya chama???huo uchungu umeanza lini?????nina wasi hapa kuna kisasi.......
 
Mkuu ulishwahi kusikia kwenye Biblia kuwa Mungu aliwatumiwa malaya yaani prostitutes kuwaokoa watu wake?

Regardless ya source ya uchungu wa Mbunge Anne Kilango Malecela, kwa taifa, lakini in the end ilisaidia kumuondoa fisadi Lowassa, kwenye haya mapamabano hatuwezi kutafuta sababu za kila shujaa, maana tumeambiwa mengi sana kuwa Mwakyembe alipokosa uwaziri ndio maana ana hasira na serikali, now we can go on that avenue kwa kila kiongozi kuanzia Slaa, Zitto, mpaka wengine wote,

Mimi sijui source ya kiongozi yoyote kupinga ufisadi, lakini I like what I see so far na vita dhidi ya mafisadi, kwa wale mnaojua endeleeni kutumwagia hapa! Ila inasikitisha sana na kuona some very respected people hapa wakianza ku-melt down, wengine walipewa mpaka nafasi ya kukutana nao hawa viongozi on personal level kumbe ni maadui kiasi hiki? Lo inatisha sana na unafiki wa binadamu, yaani mimi nawajua mpaka waliowapelkea hela bila ya kuombwa kina Mama Kilango, leo wako hapa wakitukana tena matusi ya nguoni? Kweli makubwa haya!
 
Naona hapa Field Marshall ES imeingia habari mchanganyiko ila naona ni kama ujumbe ambao muhusika anajijua.

Kuhusu mama kuwa on fire ni bomba kwa nchi no matter kwamba anafanya hivyo kwa kuwa wachapewa donge na yeye we don't care so long anafanya vema sasa kwa nchi yetu thats it.Sisi ni watu wa leo kama nyuma alikuwa kimya sasa anasema tuna muhukumu kwa siku ya leo si nyuma wala siku za mbeleni kama wapiga ramli wanavyo hisi atabadilika basi na sisi mtazamo wetu kwake utabadirika,basi acheni tumpe credit kwa haya anayoyafanya sasa.
 
Mh. Mama kilango alikuwa bosi wangu pale ATC 1985 - 1992 nilipokwenda shule.
Namkumbuka wakati huo tunamuita mama Nyangekama alivyo sasa siku zote alikuwa mtu wa kusimamia jambo ambalo anajua ni haki na ukweli.
Tofauti ya wakati ule na sasa, ni kwamba sasa ana 'base' ya kupigania tofauti na wakati ule alipokuwa anapigana bila hata serhemu ya kupata silaha.
mengi atayafichua, tusubiri tuone akae ktk serikali miaka zaidi ya 15
 
Back
Top Bottom