Pre GE2025 Kilimanjaro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
4,024
13,820
Kilimanjaro.jpg

HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO
Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare.

Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za Arusha na Mbulu, Wakati wilaya ya Pare ilikuwa sehemo ya jimbo la Tanga (Tanga Province).

Wakati nchi yetu inapata Uhuru tarehe 9/12/1961 Mkuu wa jimbo la Kaskazini (Provincial Commissioner) alikuwa Mhe.PC Edward Barongo ambaye aliongoza hadi 1963 na kufuatiwa na Mhe. Peter Kisumo, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Mkoa wa Kilimanjaro una watu wapatao 1,640,087, ambao ni nguvu kazi muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Mkoa huu una eneo la kilomita za mraba 13,209, likiwa na rasilimali nyingi za asili na mazingira mazuri ya kilimo.

Pia, soma: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

HALI YA KISIASA
Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa inashikiliwa na vyama vya upinzani katika majimbo ya uchaguzi mkoani humo ambapo uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 CHADEMA chini ya mwavuli wa UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) uliohusisha vyama vingine vitatu (3) wakati huo vya CUF, NCCR Mageuzi na NLD, vilishinda majimbo saba 7 (Same Mashariki, Rombo, Vunjo, Moshi vijijini, Moshi mjini, Hai na Siha) kati ya tisa 9 ya mkoa wa Kilimanjaro CCM ikiambulia majimbo ya Mwanga na Same pekee.

Majimbo mkoani humu ni:
  • Same Mashariki
  • Rombo
  • Vunjo
  • Moshi vijijini
  • Moshi mjini
  • Hai
  • Siha
  • Mwanga
  • Same
Nguvu hii ya upinzani mkoani humo ilififia mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 ambao ulipeleka ushindi mkubwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaondoa kabisa wabunge wa upinzani katika mkoa huo.

Kuelekea uchaguzi mkuu 2025 vyama vya siasa vimekuwa vikifanya mikutano ya hadhara ili kuongeza ushawishi wa vyama vyao kwa wananchi iki kujiongezea nafasi ya ushindi katika uchaguzi mkuu 2025.

MAJIMBO YA KIUCHAGUZI
Mkoa wa Kilimanjaro unajumuisha majimbo tisa (9) ya uchaguzi ambayo yanatoa nafasi kwa wananchi kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Jimbo la Moshi Mjini, Jimbo la Moshi Vijijini, Jimbo la Hai, Jimbo la Siha, Jimbo la Mwanga, Jimbo la Rombo, Jimbo la Same Mashariki, Jimbo la Same Magharibi, Jimbo la Vunjo

MATOKEO YA UCHAGUZI WA 2020
Haya ni Matokeo ya idadi ya kura walizopata wagombea katika majimbo ya uchaguzi yaliyopo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa mwaka 2020.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Hai, wagombea walikuwa watatu: Mbaruku Salehe Mhina wa ACT-Wazalendo alipata kura 315, Saashisha Elinikyo Mafuwe wa CCM alipata kura 89,786, na Mbowe Freeman Aikaeli wa CHADEMA alipata kura 27,684. Mgombea aliyeshinda ni Saashisha Elinikyo Mafuwe wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Moshi Mjini, wagombea walikuwa saba: Mjini Buni Abdul Ramole wa ACT-Wazalendo alipata kura 374, Priscus Jacob Tarimo wa CCM alipata kura 31,169, Raymond Robert Mboya wa CHADEMA alipata kura 22,555, Fatuma Linus Msuya wa CUF alipata kura 85, Neema Stephen Mushi wa Demokrasia Makini alipata kura 51, Malisa Dr. Godfrey Fataeli wa NCCR-Mageuzi alipata kura 59, na Isaac Kireti Kamasho wa SAU alipata kura 93. Mgombea aliyeshinda ni Priscus Jacob Tarimo wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Moshi Vijijini, wagombea walikuwa wanne: Mdimu Ally Shabani wa ACT-Wazalendo alipata kura 3,189, Ndakidemi Patrick Alois wa CCM alipata kura 53,891, Obote Elias Kimambo wa DP alipata kura 399, na Komu Anthony Kalist wa NCCR-Mageuzi alipata kura 3,888. Mgombea aliyeshinda ni Ndakidemi Patrick Alois wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Mwanga, wagombea walikuwa watano: Tadayo Joseph Anania wa CCM alipata kura 27,127, Kilewo Henry John wa CHADEMA alipata kura 4,128, Ummy Salum Mchomvu wa CUF alipata kura 89, Joyce Edward Mfinanga wa NCCR-Mageuzi alipata kura 866, na Mwanga Kinanzaro Geofrey wa TLP alipata kura 54. Mgombea aliyeshinda ni Tadayo Joseph Anania wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Rombo, wagombea walikuwa sita: Massawe Jafet Mark wa ACT-Wazalendo alipata kura 1,564, Adolf Faustine Mkenda wa CCM alipata kura 48,122, Assenga Patrick John wa CHADEMA alipata kura 9,519, Tadayo Jubilate Joseph wa CUF alipata kura 107, Joseph Roman Selasini wa NCCR-Mageuzi alipata kura 416, na Clemence Michael Kimario wa TLP alipata kura 167. Mgombea aliyeshinda ni Adolf Faustine Mkenda wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Same Magharibi, wagombea walikuwa wanne: Dkt. Mathayo David Mathayo wa CCM alipata kura 24,260, Mgonja Gervas Eliewaha wa CHADEMA alipata kura 7,558, Michael Ezekiel Mshighati wa CHAUMMA alipata kura 133, na Elisante Majidi Jumanne wa NCCR-Mageuzi alipata kura 201. Mgombea aliyeshinda ni Dkt. Mathayo David Mathayo wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Same Mashariki, wagombea walikuwa watano: Dimitry Ulysious Papadopulos wa ACT-Wazalendo alipata kura 297, Anne Kilango Malecela wa CCM alipata kura 26,225, Kaboyoka Naghenjwa Livingstone wa CHADEMA alipata kura 8,836, Mkanza Idd Alfani wa CUF alipata kura 132, na Ally Shangweli Mbwambo wa NCCR-Mageuzi alipata kura 7. Mgombea aliyeshinda ni Anne Kilango Malecela wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Siha, wagombea walikuwa wanne: Gasper Kitali wa ACT-Wazalendo alipata kura 418, Dkt. Godwin Oloyce Mollel wa CCM alipata kura 22,172, Elvis Christopher Mosi wa CHADEMA alipata kura 8,614, na Leslie Johnson Kileo wa NCCR-Mageuzi alipata kura 306. Mgombea aliyeshinda ni Dkt. Godwin Oloyce Mollel wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Vunjo, wagombea walikuwa sita: Elizabeth Michael Salewa wa AAFP alipata kura 470, Mfinanga Iddy Hussein wa ACT-Wazalendo alipata kura 215, Kimei Charles Stephen wa CCM alipata kura 40,170, Kiwelu Grace Sindato wa CHADEMA alipata kura 8,675, Mbatia James Francis wa NCCR-Mageuzi alipata kura 4,949, na Mrema Augustino Lyatonga wa TLP alipata kura 606. Mgombea aliyeshinda ni Kimei Charles Stephen wa CCM.

JANUARY
FEBRUARY
 
Mkoa wa hovyo kabisa so far.
Vijana wa Moshi wamekuwa chawa wa matajiri, wameiga vijana wa Dar!
Toka 2020 Maeneo ya wazi yote yameporwa na Walichukua halmashauri, wametoa vibali kukarabati nyumba za chini za katikati ya mji, mji umekuwa kama soko, in short CCM imerufisha mji nyuma miaka 40 !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom