William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,374
Mkuu "Mutu"
Heshima mbele bro, usiwe na wasi wasi ni lazima sometimes kuwekana sawa, lakini watu wanatalkiwa kuelewa haya ni majadiliano tu yas siasa, lakini nilihisi toka Ijumaa ule mwendo kuwa utaishia kuleta madhara, lakini sisi ni watu wazima ni lazima tuwekane sawa ikibidi, na tuheshimiane pia,
Kuhusu Mama Kilango, mimi kama raia wa Tanzania nina imani naye tena sana, na ninamtakia heri ya maisha ili aendelee hivyo hivyo alivyo sasa!