KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

Usihalalishe UOVU kwa waliotenda uovu; MKE MMOJA MUME MMOJA hadi kifo kiwatenganishe; MUNGU ANACHUKIA KUACHANA, hilo ndilo neno la Bwana.
Mungu hana Upendeleo, Biblia unaweza kutafsiri unavyotaka wewe lakini DHAMIRA yako inakuambia sivyo.
Ingekuwa RUKSA wake wengi Adam angepewa na MUNGU wake kadhaa. Mengine yaliandikwa ili tujifunze tusifanye kama wao.
Hao WOTE uliowataja ni wanadamu, hatuna cha kujifunza kwao na wao walitenda dhambi kama wanadamu wengine.
Huko KKKT huwezi kufundishwa hayo, huko pombe, nyumba ndogo uzinzi hawadhubutu kukemea.
NENO la Mungu walishatia MAJI siku nyingi.
Karibu katika familia ya WALOKOLE.
Huko ulokole ndio hapafai kabisa; unafiki, majungu,usengenyaji vimejaa huko.
 
Jana nilikuwa kwenye ibada ya msiba kanisa la Lutheran ubungo
Moja ya mahubiri toka kwa mchungaji alisema "Wanazikwa mbwa sembuse binasamu" . Alisema kwamba kuzikwa utazikwa tu sema utaratibu wa maziko ndio itakuwa tofauti kwa hiyo cha muhimu ni uhusiano wako na mungu,sio kwenda kanisani ili uzikwe Kwan hata wachawi ,walevi, wazinzi majambazi, wezi, wanaenda kanisani lakini hawaendani na matendo yao. Kwaiyo kuzikwa utazikwa tu kwani hatujui imani yake na mungu wake.
 
Inapokea talaka???Ndo nasikia kutoka kwako. Muumini wa KKKT aliefunga ndoa KKKT. Akapata talaka mahakamani. Kanisa litaipokea????Basi Mengi na Jack wangefunga ndoa yao pale Azania front.

Ata me nimeshangaa hii maana hapo kuna contradiction kama KKKT halitambui talaka linaipokeaje talaka kutoka serikalini duh
 
Mh! sidhani!
Ndio nakupa taarifa sasa, fanya trial tafuta wanawake kwa gwajima pale ni wa kujibebea tu kamuowe KKT kimara kisha muache tafuta wa maana uende kuolea palelale uone
 
Siku hizi zipo

Sio kweli kanisa Catholic halina TALAKA ila kuna kitu kinaitwa separation na hii hutokea pale ambapo mwanandoa mmoja ana hatari ya kumsababishia mwenzie madhara makubwa kama KIFO hivyo kanisa kwa busara huamua kuwatenganisha kwa muda ili hali itulie na kama wataona wamepatana basi hurudiana tena hii ni tofauti na DIVORCE
 
Hapa kama kuna harufu ya siasa.azikwe ki lutheri au vinginevyo haina maana zaidi ya kutimiza protocal ina tegemea aliishije wakati wa uhai wake .na anayejua hilo ni baba aliyeko mbinguni.huwezi jua mahusiano na Mungu wake yalikiwaje.Tusifungwe na sheria ambazo haziko tena.
 
Zipo.
RC by a permit from the Pope but it is really a very long process

Usidanganye watu ndoa ni divine law Papa hana mamlaka ya kuvunja sheria ya ki Mungu embu tuambie ni sheria ipi ya kanisa inamruhusu Papa kuvunja ndoa
 
RC kuna annulment(ndoa kubatilishwa) zamani ilikuwa inafanywa na Pope tu siku hizi migogoro ya ndoa inaanza kusikilizwa ngazi ya Parokia mpaka jimbo na ndoa inabatilishwa na Askofu wa jimbo, hayo mambo ya kibali kutoka Roma kwa Papa ni ya kizamani... Ila mpaka ndoa ibatilishwe kuwe na sababu za kutosha na ushahidi unaojitosheleza kwamba hiyo ndoa haikupaswa kufungwa tangu mwanzo

True[emoji122]
 
Kifungo cha RC ndo uwapa kiburi wake zetu hasa wakishapata cheti na watoto ukubali tu maumivu yote na vitimbwi tu.Waswahili usema uwe mpole

Umeongea kwa huruma [emoji18]. Wanawake ni viumbe wa ajabu sometimes
 
Hapa lazima ujue ww na mengi ni kitu kimoja wot ni binadamu ila jua ww na mengi ni watu wawili tofaut mchango wako kwa kanisa na jamii ni tofaut mengi mchango wake mkubwa wako mdogo wakiacha kumzika wanatia aibu kanisa na na nchi pia
 
Kama inavyofahamika katika kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ,ndoa inayotambulika ni moja tu hadi kifo kitakapowatenganisha.

Mzee Mengi ambaye alikuwa ni muumini wa kanisa la kilutheri Tanzania na katika uhai wake inasemekana alifunga ndoa nyingine na Jack wakati huo huo Mama Mercy Mengi alikuwa bado yupo hai.

Je Mengi atazikwa na kanisa la kilutheri ,kikristo? Je kanisa litamtambua Jack kama mke wa marehemu? Kiukweli huu ni mtego na nightmare kwa kanisa la kilutheri.
Serikali inamtambua Jacky kama mke wa Mengi, hivyo lazima apeww urithi wake
 
Usihalalishe UOVU kwa waliotenda uovu; MKE MMOJA MUME MMOJA hadi kifo kiwatenganishe; MUNGU ANACHUKIA KUACHANA, hilo ndilo neno la Bwana.
Mungu hana Upendeleo, Biblia unaweza kutafsiri unavyotaka wewe lakini DHAMIRA yako inakuambia sivyo.
Ingekuwa RUKSA wake wengi Adam angepewa na MUNGU wake kadhaa. Mengine yaliandikwa ili tujifunze tusifanye kama wao.
Hao WOTE uliowataja ni wanadamu, hatuna cha kujifunza kwao na wao walitenda dhambi kama wanadamu wengine.
Huko KKKT huwezi kufundishwa hayo, huko pombe, nyumba ndogo uzinzi hawadhubutu kukemea.
NENO la Mungu walishatia MAJI siku nyingi.
Karibu katika familia ya WALOKOLE.
Familia ya walokole ni kanisa gani mkuu, au ni : KAKOBE, GAMANYWA, GWIJIMA, MZEE WA UPAKO, FERNANDES (AGAPE) AU yule aliyeanzisha benki pale mwenge ikafa? Na hao pia ni familia ya walokole?
 
Back
Top Bottom