KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 407
- 898
Mm naamin PHD za KKKT
The talaka is there finally and you can even have a church wedding againBy that long process, it is as if there is no talaka in the material sense!!
Mh! sidhani!Kwa hiyo vinavyofanyika KIMARA KKKT ni kinyume na imani?
Watu wanaolewa/ kuowa na wanaachana na kurudi kufunga ndoa zingine palepale
No, talaka zipo kwa mujibu wa sheria za kanisa. Ila unatakiwa kuwa na sababu za msingi sana. Na hatua ni ndefu sana mpaka kufanikiwa kutengana so wanaofanikiwa wachache sana.KKKT/RC hakuna talaka!
Jamani si nasikia alifiwa huyo mzee, baadaye ndiyo akamuoa huyo K lyn?Kama alimpa talaka wa awali haina shida kabisa.
nimekuelewa sanaKanisa Halitaingia Kwenye Mtego Kamwe
Watu (Viongozi Wa Dini) Hao Ndiyo Watakaoingia Kwenye Mtego Huo . Viongozi Wetu Muda Mwingine Ni Wanafki Sana Sana
Acha Tuone
Is it a dictate of the canon law? Please read this!The talaka is there finally and you can even have a church wedding again
Moja ya taratibu wa KKKT ni kujiandikisha kwenye ushafika husika na Kuna maswali unayajaza kwenye form maalum ili utambulikane status ya ulutheri wako na pale panapoonekana Kuna ukakasi huwa mchungaji an akusaidie kusaidia kutengeneza unakuwa msharika kamili na namba unapewa. Sasa usipojaza hiyo form inamaana wewe ujajiandikisha kuwa msharika na watakuwa hawakutambui kama ni mkiristo wa kilitheri au la. Huwa ni utaratibu wa kikanisahakuwa ameandikishwa maana yake nini? Hakuwa mlutheri?
Kwa process hiyo ilivyo ndefu, ni kama hakuna!No, talaka zipo kwa mujibu wa sheria za kanisa. Ila unatakiwa kuwa na sababu za msingi sana. Na hatua ni ndefu sana mpaka kufanikiwa kutengana so wanaofanikiwa wachache sana.
Kama inavyofahamika katika kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ,ndoa inayotambulika ni moja tu hadi kifo kitakapowatenganisha.
Mzee Mengi ambaye alikuwa ni muumini wa kanisa la kilutheri Tanzania na katika uhai wake inasemekana alifunga ndoa nyingine na Jack wakati huo huo Mama Mercy Mengi alikuwa bado yupo hai.
Je Mengi atazikwa na kanisa la kilutheri ,kikristo? Je kanisa litamtambua Jack kama mke wa marehemu? Kiukweli huu ni mtego na nightmare kwa kanisa la kilutheri.
Usihalalishe UOVU kwa waliotenda uovu; MKE MMOJA MUME MMOJA hadi kifo kiwatenganishe; MUNGU ANACHUKIA KUACHANA, hilo ndilo neno la Bwana.
Mungu hana Upendeleo, Biblia unaweza kutafsiri unavyotaka wewe lakini DHAMIRA yako inakuambia sivyo.
Ingekuwa RUKSA wake wengi Adam angepewa na MUNGU wake kadhaa. Mengine yaliandikwa ili tujifunze tusifanye kama wao.
Hao WOTE uliowataja ni wanadamu, hatuna cha kujifunza kwao na wao walitenda dhambi kama wanadamu wengine.
Huko KKKT huwezi kufundishwa hayo, huko pombe, nyumba ndogo uzinzi hawadhubutu kukemea.
NENO la Mungu walishatia MAJI siku nyingi.
Karibu katika familia ya WALOKOLE.
Mwanaume haruhusiwi kumuacha mkewe bali kwa Dhambi ya Uzinzi tu Kama hujui hili nenoo kakojoe ulaleee[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] eti uzinzi hausamehekii Kobe majii... Hakuna dhambi isiyosamehekaaa kama Wauaji wenyewe wanasamehekaa... Itakuwa huijui biblia kabisa mzee baba.Samehe mara 7x70; wapi uzinzi hausameheki hata mara zote hizo, Acha kupotosha watu, kaa chini ufundishwe.
Mke mmoja hata kifo kiwatenganishe; hilo ndio NENO na halijipingi wewe ndio hujui.
Make huachwa kwa Uasherati au Uzinzi imeandikwa. Mlokole gani usiye jua maandiko?MKE MMOJA : MUME MMOJA HADI KIFO KIWATENGANISHE. Full stop
yani nashangaa walokole hawalijui hili nenoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Make huachwa kwa Uasherati au Uzinzi imeandikwa. Mlokole gani usiye jua maandiko?
Watamzika Tu,sheria kwa waumini masikini Tu,kama huamini mark my words,na Jacky ameshatambuliwa na atatambuliwa,usicheze na mijihela wewe,.
Hizo sheria na mitego ni kwa ajili ya watu wasio na mchango mkubwa duniani enzi za uhai wao... mchango wa Mengi ni mkubwa sana sheria lazima zivunjwe tu.. atazikwa na Kanisa kama kawaida na K lyn atatambuliwa kama mke wake
Tukutane machameee.Kutokana na Ratiba waliyotoa familia,hapa Dar es Salaam hatapelekwa kanisani pale Azania Front.
Manabii kazaa walikuwa na mke zaidi ya mmoja.Huwa KKKT viongozi wa Kanisa wanatia AIBU kwa kuwakumbatia marehemu wenye pesa au cheo au hadhi fulani katika jamii. Nawakumbusha tu KKKT , MUNGU wetu ni mtakatifu na hana upendeleo; mbele zake sisi wote ni sawa na haangalii hata sura ya mtu.Pasipo utakatifu hakuna atakayemwona Mungu. Nilihama huko baada ya kuokoka miaka 20 sasa. NENO la Mungu walishatia MAJI siku nyingi. Watatafuta mistari ya kuhalallisha chochote ili mradi chombo cha sadaka kitafurika.
Muogopeni MUNGU WETU HADHIHAKIWI, mtavuna nmlichopanda siku ya mwisho.
PASIPO UTAKATIFU HAKUNA MTU ATAMWONA MUNGU.