Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Kweli kabisa FF.


Kwako Zinduna,
Huyo jamaa alikupenda ukiwa hivyo ulivyo, sasa wewe jichanganye ujikwatue kama jini uone kama hajakuacha kwenye mataa. Kuna wanaume wengine huwa hawapendi mbwembwe bana. Wanapenda mtu awe natural, (no wigi, no makucha ya bandia, malipustick mekundu ya china, nk, nk) Vaa kawaida ulivyozoea kuvaa ili mradi upendeze, haina haja ya kuhangaika kiasi hicho. Jiamini kama ni wako ni wako tu. Unaeza kujikwatua afu umkute ni tapeli wa mapenzi pia( siombei awe hivyo). Just be simple. Perfum ya kawaida kabisa, sio uende unanukia kama jini mpaka umkere mwenzio, make up pia fanya kawaida sana. Kila la kheri, hiyo ni hatua moja, nakuombea iwe ya mafanikio.

Ahsante mwanawane, hayo ndio maujanja yaliyonishawishi nijiunge na JF
 
vaa kitop na kimin chenye mpasuo na viatu vya mchuchumio.usijipodoe sana.usitembee kama mwanaume.ukionyesha dalili za kumchuna jua imekula kwako.halafu uongee kwa mapozi meeen..u know wat m sayin'?.mia
 
usimpe e mail, just PM him, atampindua huyo anaeenda kukumega, kama huamini mpe e mail uone....
the Fiest usilazie damu hii chance...akikupa e mail yake tu, kanyaga mafuta......
Wee jamaa banaa nimecheka kweli aiseee
 
wanasemaga golden chance never come twice! sasa ukichezea hii nafasi utakuja kujuta, kwanza utakapompa hiyo mitindo mwambie kabla hajaenda kwa huyo jamaa yake apite kwako umfanyie assessment kama amependeza...then u can click the button before the waiting guy!!!!!
Never lose this chance dude!!!!!
Wee jamaa banaa nimecheka kweli aiseee
 
Mkuu wanawake wa JF uwezo mdoooooooooooogo sana wa akili wasamehe

hapana kaka, rekebisha kidogo hiyo kauli yako. Naona umewakosea heshima wengine humu ambao kwangu mie ni role model. tafadhali rekebisha kauli ndugu!
 
hapana kaka, rekebisha kidogo hiyo kauli yako. Naona umewakosea heshima wengine humu ambao kwangu mie ni role model. tafadhali rekebisha kauli ndugu!
huyo Ain't ndivyo alivyo, msamehe, hajui alisemalo wala alitendalo....
 
Maoni yako nimeyapenda, ili hilo la kudunguliwa in the first day of dating, haliwezi kutokea kwangu, I dissapoint you kabisa, siko ki-hivyo my dear Brother. haa yeye sidhani kama anaweza kuwa ni mtu wa kukurupuka, mie nina staha bana

red and bolded: Sijui kwa nini baadhi ya wanawake huishi kwa hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo. Yaani ni first day of dating, mtu ameshajiaminisha kuwa njemba ni mtu poa. Kina dada msaidieni huyu mwenzenu, huenda anaenda kukutana na jini, si mnaona hapo kwenye red and bolded. Kwisha huyu, anajiaminisha tu, iko siku atarudi humu akilalama.
 
kamwe kina dada hamtatujua wanaume, na tutaendelea kuwasababisha machozi na vilio milele!
 
red and bolded: Sijui kwa nini baadhi ya wanawake huishi kwa hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo. Yaani ni first day of dating, mtu ameshajiaminisha kuwa njemba ni mtu poa. Kina dada msaidieni huyu mwenzenu, huenda anaenda kukutana na jini, si mnaona hapo kwenye red and bolded. Kwisha huyu, anajiaminisha tu, iko siku atarudi humu akilalama.

Hizo ni ndoto za Kimweri
 
Umbo langu halitofautiani sana na la yule Lulu mwigizaji, lakini labda nimemzidi urefu kidogo na kijikalio na hipsi za kiushkaji. vigauni vya tight huwa zinanikubali na suruali za kubana zinanikaa vizuri pia
Usije ukapoteza bahati jamaa akiona umemzidi aka maji marefu.
 
vaa suruali ya kubana, (ya dukani)
blauz iishie mifuko ya suruali inapoanzia, isiache manyonyo nje (ya mtumba)
nywele weka mawimbi (ikiwezekana weka dye ile kama ya wekundu fulani)
kata nyusi - siyo zote - paka wanja kwa mbali,
kiatu kama una gari vaa kirefu, kama huna gari vaa sendoz ya nguvu
chupi vaa nyeupe
shanga nne
brazia nyeupe, usipush manyonyo
paka rangi ya kucha inayofanana na maua ya kwenye blauz utakayovaa
kama una herene, mkufu wa gold vaa, kama huna usivae, vaa only saa,
paka perfume inayonukia kwa mbali sana.
chukua leso nyeupe,
weka hela kidogo kama elfu 50 kwenye mfuko wa suruali lakini usichangie matumizi yoyote.
uwe na tabasamu la mbali, siyo kujichekesha chekesha bila mpango,
mengine jazia hapa
nawasilisha.
 

unachakachua eeh....hebu toa maoni yako basi bitterlady....(are you good? missed u)

Zinduna Bi mkubwa FF kasema jambo la maana sana "BE YOURSELF"
 
Mkuu wanawake wa JF uwezo mdoooooooooooogo sana wa akili wasamehe

mkuu hapo umekosea.wewe unamfahamu X-GIRLFRIEND?.Chunga mdomo wako kabla sijakugeuza mlupo.haiwezekani ututukanie viburudisho vyetu sisi tunakuangalia tu.kumbe ndo maana nyani ngabu hua anakutukana.pumbavu.mia
 
ahhhhh
black mini dress
black or purple hills.
red oversize clutches bag..
very small necklace, silver bracelets,
just small earrings, na usisahau hizi pete kubwa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom