Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Mwanamke yeyote ana kiburi kwa asili, ila unaweza kumfanya mtumwa endapo utafanikiwa kuwa na vitu hivi viwili. cha kwanza, ni PESA, cha pili ni kumkuna hadi hamu yake yote iishe. ukifanikiwa kwenye hivyo, hata ukifanya kosa lipi, atakusamehe, hata uwe na mapungufu gani atayavumilia, tena hasa icho cha pili cha tendo la ndoa. utamburuta kama mtumwa hadi nguvu zitakapokuisha.
Tunadanganyana sana
 
Mi niwe mkweli...kitakachonituliza ndani ni mume Mwenye kuwajibika kwa familia yake tu...ila ukishaniachia majukumu for 80% usitegemee kukuheshimu as a man
Kwa hiyo siku Mume akipata maradhi, ajali au uwezo wake wa kipato ukiwa chini, ndoa ndio hali Jojo?

Kifupi unataka tuamini kuwa unathamini mtu mwenye kitu badala ya utu?
 
Mpe matumizi mazuri
Mpe nyumba nzuri
Mpe gari nzuri
Mpe mapenzi ya kutosha
Mpe pesa ya kutosha- hata awe anakutunzia tuu impe uhakika wa maisha


Halafu Rudi utuambie kama bado ana kiburi
Yote kafanya Manara na Bado kaachwa Dubai?

Yeye atakuwa anatoa nini?
 
Back
Top Bottom