Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,973
- 23,440
For what gain?Mpe matumizi mazuri
Mpe nyumba nzuri
Mpe gari nzuri
Mpe mapenzi ya kutosha
Mpe pesa ya kutosha- hata awe anakutunzia tuu impe uhakika wa maisha[emoji1787][emoji1787][emoji52]
Halafu Rudi utuambie kama bado ana kiburi[emoji41][emoji41][emoji41]