Kweli kbsa mkuu.Kwa jinsi maisha ya ndoa yalivyo hasa kwa hii generation,inaonekana huko mbeleni ndoa itabaki kua historia tu.
Suspect is armed and dangerous. Requesting permission to engage. Over.Copied. Dead or alive? We comming
Alpha team, situation is too dangerous to proceed. Requesting immediate disengage and extraction. Over.Enemy on target, confirm to kill![]()
ShukraniPole sana
Pa1Pole kiongozi
SawaBwege kabisa hilo. Taahira kabisa
We acha tuKwa jinsi maisha ya ndoa yalivyo hasa kwa hii generation,inaonekana huko mbeleni ndoa itabaki kua historia tu.
KweliKaambali na mwanamke.
YaanJamaaa mpaka ameshindwa kuandika, ujue yamempata
😂😂😂😂😂😂Si mnapenda curvy hips na melow voices?😄
Pole sana mkuu.
Dah aisee mi kiburi tu hawa watu kiburiiiiii
Sa si aseme u*nge huuUkiona kiburi imezidi kuna kitu hujafanya sawa![]()
Ishi nao kwa akili![]()
Sa si aseme u*nge huu
Si mmeona yule msukumu juzi kajinyonga sasa we kachukue demu sijui chuo hujui hata tabia ya kwako we unaingia mazima.Mkuu em tiririka na sisi tujifunze!