Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Talaka zipo, wazee wa busara wapo, wakwe wapo, mshenga yupo, padre sijui mchungaji, sheikh wapo, mahakama zipo

Vitumieni hivi vyombo, msije mkafa kwa msongo wa mawazo...
Juzi mume kamuua mke kwa kumchinja na kukinga Damu kwenye ndoo then kaenda bar kunywa pombe,,toa sana offer huku home kachinja mke. Unaambiwa waliachana then mke akamrudia bwana.Ifikie hatua watu wajue X-harudiwi.Pia kuachana si dhambi...kuchokana kupo mtauana nawaambia
 
Back
Top Bottom