Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Baadhi ya wanaume wenzetu wamekuwa wapumbavu sana kwenye mahusianoHumu kila siku tunatoa masomo lakini hawa vijana wanatudharau.
Mbunyenga ikikuendesha akili utakoma. Utalia kila siku.
Wanawake ni wajanja. Akishajua unapenda sana Mbunyenga basi umekwisha.




