Mgm-
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 6,025
- 8,686
Hv wewe kichwan upo sawa kweli??? [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Hapana mkuu, huyo ni mwanaume mmoja tuu mwenye malengo yake
Yaani kila baada ya muda anapiga hatua moja mbele inavyozidi kuweka familia yake imara
Ndo mana mnaendelea kuzalishwa na kuachwa. Mmejawa na tamaa zilizozidi.