kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,400
- 17,109
Ukisikia Yalaah.........
Jamaa wamwagie nondo nyingine
Me nna ishi na hi
Ukisikia Yalaah.........
Ukiona kiburi imezidi kuna kitu hujafanya sawa😁😁😁
Ishi nao kwa akili✍✍✍✍
Nasisitiza kaa mbali taa nyekundu ikiwaka tu ,tena kimbia usigeuke nyuma utageuka jiwe la chumvi.Kaambali na mwanamke.
Ni wanaume pekee ndiye anapaswa kuwa na kitu cha kufanya kwenye mahusiano??
Na ikiwa una-initiate ila hajui nafasi yake, hapo pia alaumiwe mwanaume?Mke ni msaidizi wako. Sasa kama hakuna unacho initiate wewe ili akusaidie ujue hapo ndio shida linapoanzia
Mwanaume ishi na mwanamke kwa akili
Akili Akili Akili
Check control tower,code checking,stall is imminentAlpha team one man down, I repeat man down.over
Ndoa (familia) ndiyo taasisi-mama katika uhai wa jamii iliyostaarabika na dini karibu zote zinatuambia kuwa mwanzilishi wake ni Mungu mwenyewe. Hata katika dini za Kiafrika waanzilishi wa makabila mengi ya Kiafrika ni mke na mme waliokutana kimungu wakaungana na kuanzisha kabila fulani.Kwa jinsi maisha ya ndoa yalivyo hasa kwa hii generation,inaonekana huko mbeleni ndoa itabaki kua historia tu.

. Sijui tutakimbilia wapi!Na ikiwa una-initiate ila hajui nafasi yake, hapo pia alaumiwe mwanaume?
Ninachomaanisha ni kuwa, kwenye makosa ya kimahusiano yoyote yule anaweza kuwa chanzo na sio mwanaume tu, kama jinsi ambavyo ulimaanisha kwenye ile comment yako ya mwanzo.
Mwanamke yeyote ana kiburi kwa asili, ila unaweza kumfanya mtumwa endapo utafanikiwa kuwa na vitu hivi viwili. cha kwanza, ni PESA, cha pili ni kumkuna hadi hamu yake yote iishe. ukifanikiwa kwenye hivyo, hata ukifanya kosa lipi, atakusamehe, hata uwe na mapungufu gani atayavumilia, tena hasa icho cha pili cha tendo la ndoa. utamburuta kama mtumwa hadi nguvu zitakapokuisha.Yan sijui kwanini nimecheka 😂😂😂
Inasemekana wanakuwaga wapole enzi za uchumba, ukishamweka ndani ndio unaanza kuona rangi nyingine.
Kama una-initiate halafu yeye hajui nafasi yake ndio nitarudi nikuulize kilichokuvutia hadi upeleke posa ulipe na mahari ni kipi? Au ndio msambwada😂😅😅
Acha yafe. Yanakuaga mabishi mno haya majinga/mas3ng3
Alpha team, situation is too dangerous to proceed. Requesting immediate disengage and extraction. Over.
Tatizo vijana wengi wanaoa kwa matamanio yao hawawashauri wazee waoDah aisee mi kiburi tu hawa watu kiburiiiiii
