Uwa nawaza kwa sauti ndogo sana,kwamba haya mambo mambo na story nazozisikia Jf mala Mama flani kachepuka na mpenzi wake wa Zamani,Au Mke wa flani amefumaniwa akijamiiana hospitali na kijana muuza nyama.
Au jinsi ambavyo mke wangu alichepuka siku ya ndoa yangu ni uzi wa mdau mmoja hivi.
Aisee kama hayo mambo yote ndivyo yalivyo katika maisha Halisi, basi wakubwa ni waambie tu jambo la NDOA litabaki kuwa historia miaka Mingi Ijayo, Maana aya mambo ya kuchapiwa binafsi yangu uwa sikubaliani nayo kabisa.