Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

ile:KABLA YA KUJIULIZA MMEO KAKUFANYIA NINI CHA MAANA TOKA UMEISHI NAE JIULIZE KWANZA WEWE UMEMFANYIA NINI.
Mshahara wangu wote unamlea yeye na wanawe....nn kingine nifanye.Ndo maana nasema ukiniachia majukumu 90% usitegemee nikakuona mwanaume.Wajibikeni mkuu
 
Yan sijui kwanini nimecheka 😂😂😂

Inasemekana wanakuwaga wapole enzi za uchumba, ukishamweka ndani ndio unaanza kuona rangi nyingine.

Sahihi kuishi nao uchumba sugu.
Uchumba sugu hana tofauti na mfanyakazi wa kujitolea anaesotea ajira fully utii,adabu na heshima.
 
Mshahara wangu wote unamlea yeye na wanawe....nn kingine nifanye.Ndo maana nasema ukiniachia majukumu 90% usitegemee nikakuona mwanaume.Wajibikeni mkuu
Hata akibeba majukumu yote still nyie ndie mnaonufaika na matunda.
1.Mtoto atalishwa sumu baba alikuwa mlevi,malaya.
2.Mama anakatiwa tiketi ya ndege kuja kuwaona wajukuu baba uachwa upweke nyumbani.
3.Usiombe uwe mzee na hauna kitu mama na watoto uungana hawakumbuki mchango wako.
4.Mama atapewa laki 3 baba atapewa elf 20.
Hawa watoto ni kama tunawatengenezeeni ninyi wanawake mwisho mwema.
 
Hapana mkuu,usiseme ivo.kwani nawe upo ivo kwa wazazi wako?
 
Kijana kataa ndoa ,ndoa ni scam,ndoa ni utapeli,ikimbie ndoa,ndoa ni utumwa,afya yako ya akili Ina thamani kuliko ndoa

Hivi vibwagizo huwa huvisomi mkuu? Pole sana
 
Hapana mkuu, huyo ni mwanaume mmoja tuu mwenye malengo yake
Yaani kila baada ya muda anapiga hatua moja mbele inavyozidi kuweka familia yake imara
Unakinzana na Mungu au?hakuna mwanaume anaweza kukutimizia hayo yote uliyoorodhesha hapo..na ndo maana kunakuwa na neno uvumilivu due kuna sehm hatofanya kama unavyotaka wewe
 
Acha kujiendekeza basi
Ati hakuna mwanaume anaweza😂😂😂😂
 
Acha kujiendekeza basi
Ati hakuna mwanaume anaweza😂😂😂😂
Hata huyo mchepuko wako hatimiz uliyoorodhesha hapo...ni ego tu ndo ndo inayokusumbua kuonyesha superiority kwenye hamna
 
Ukichepuka wewe inatosha maana kuchepuka ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri
 
Utakua unatafuta dume wewe😏😏😏
Nilikoolewa mke kuna njemba bili bado hazijaoa Basi njoo na wewe uolewe mke mwenza🙄🙄
fanya uwadanganyie hao watot uliozalishwa wakusaidie matumiz...najua kazi ya kulea ilivyo ngumu.kwa upande wa mzaz.mmoja
 
Umetumwa eeeh
Acha kukariri maisha njoo uolewe maana ndicho ulichobakisha
 
Back
Top Bottom