Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

Alpha team one man down, I repeat man down.Situation is critical. I repeat, man down at X-Ray, Charlie, Tango. Requesting immediate medevac and air support. Over."
hahahahaa copy roger
 
Swali lako hili linathibitisha kuwa kuna wanawake ambao hatuwezi kuishi nao kwa akili no matter how tunajaribu.

😄😄

Acha woga

Ukimpata wa size yako hakishindikani kitu, shida ni kutafuta size kubwa zaidi so ndogo zaidi
 
Hii ni kwa wanawake wenye maadili ila KUNGURU NI KUNGURU TU, hata umfanyie kitu gani.

Acha makasiriko
Tafuta ambaye anafit kwenye uwezo wako. Nani alikuambia kupenda nyumba nzuri, Kula vizuri, gari na pesa ni ukunguru!?
 
Acha woga

Ukimpata wa size yako hakishindikani kitu, shida ni kutafuta size kubwa zaidi so ndogo zaidi

Hatuzungumzii swala la uoga hapa.

Hoja ni kwamba, yoyote yule anaweza kuwa chanzo cha mahusiano kuvunjika, mwanaume au mwanamke.
 
😂😂😂😂😂😂Jamani hili suala limekuwa overrated
 
Talaka zipo, wazee wa busara wapo, wakwe wapo, mshenga yupo, padre sijui mchungaji, sheikh wapo, mahakama zipo

Vitumieni hivi vyombo, msije mkafa kwa msongo wa mawazo...
Hayo sasa mapenzi ya kulazimishana.

Siwezi kukaa na mwanamke ambaye nalazimika kusuluhishwa kama vile M23 na Serikali ya DRC.

Huo muda wanaume mnaupata wapi?
 
Yule msukuma juzi kati kajinyonga baada ya kumnunulia demu iphone huko chuoni ila vichwa panzi hawajifunzi.
Hawa watu ni watani zangu kiukweli mimi sio mbaguzi wa kikabila lakini wasukuma japo ni wasomi na wana akili ila hawaeleweki
 
Back
Top Bottom