monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,887
- 13,644
Hao sawaNadhani anazungumzia wale wa kutembea kila kanisa na ka nabii kutafuta upako na utajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandishi hayadanganyi babe!
Hahahaaaaa Mangi nacheka hapa acha kabisa..
Nimetoka kuitwa non material
Ndio maana kumbe hata sikuhizi salamu zako sizipati eeh!!Kusema kweli mwanamke asiekunywa pombe nikishamjua hata salamu yangu hapati.....
Nachukia sana watu wasiotumia pombe,
Nasisitiza nawachukia mnoo. Karibuni grants
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi una mababe wangapi eti jamaniEeeh...
Mi nakuambia, achana na maandishi love
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maana kumbe hata sikuhizi salamu zako sizipati eeh!!
Nimeacha tokea mwaka jana 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe umeacha gambe
vipi wa msikitini je?Mwanamke asiyekunywa hata wine hata mimi amenishinda.. hajui kujichetua hata siku moja moja muende viwanja mkabambiane.. yeye na kanisa na kanisa na yeye.. life inakuwa bored
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weeh usiambieKwa style hii, akuuuu na mie sikutaki. Mana na mie nna sf izo izo ahahahaha.
ahahahaha nishakuambia tyr
Hivi unajua nina wivu jamaniiHahahaha!!
Dah,
HahahahaNimeacha tokea mwaka jana [emoji23][emoji23]
We mnywajii mzuri tuNdio maana kumbe hata sikuhizi salamu zako sizipati eeh!!
WoiiiWe mnywajii mzuri tu