General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
- Thread starter
- #41
Hapana wajenzi, ndiyo huyo jamaa.
Baby
Hapana wajenzi, ndiyo huyo jamaa.
Kwa style hii, akuuuu na mie sikutaki. Mana na mie nna sf izo izo ahahahaha.
Kama una stock ya kutosha dondoshea huku. Huyo mimi namrekebisha vitu vidogo tu tunaenda sawa.Sijui niko peke yangu au kuna wenzangu kama mimi?
1. Mwanamke kunivalia magauni makubwa na sketi ndefu hapana aisee. Nimesha acha wengi wenye itikadi hizi...
2. Mwanamke kila wakati anasali, mara maombi, sijui kwa mchungaji gani huko hapana kwakweli. Wengi wanaokuwa na swaga hizi hatumalizi mwezi
3. Mwanamke asiyekunywa pombe, kiukweli mnisamehe sana
4. Mwanamke mwenye mipango kibao kichwani, sijui biashara, hashiki moja yeye ni mbili tumeshindwana mazeeee.
5. Mwanamke aliye serious na maisha mimi hapana. Mtu mgumu, mjuaji apotelee mbali
Ndivyo nilivyo!!
Hiyo number 3 mkuu tema mate chini. Ushawahi kutana na mwanamke mlevi.
Aisee kuna dada alikua jirani yangu ni mlevi wa kupindukia. kunywa lazima anywe bar, hawezi kunywa getto. Na lazima alewe mpaka azime. Yani ilikua ni aibu. Mdada mzuri tu aliesoma lakini kila siku boda inamuokota huko inakuja kumbwaga kibarazani kwake hapo kajikojolea na kujitapikia kabisa.
Mkataa pema. Wewe komaa na slay queens wife material wataolewa na waoaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
umezoea vyakuokota hayo sio matawi yakoSijui niko peke yangu au kuna wenzangu kama mimi?
1. Mwanamke kunivalia magauni makubwa na sketi ndefu hapana aisee. Nimesha acha wengi wenye itikadi hizi...
2. Mwanamke kila wakati anasali, mara maombi, sijui kwa mchungaji gani huko hapana kwakweli. Wengi wanaokuwa na swaga hizi hatumalizi mwezi
3. Mwanamke asiyekunywa pombe, kiukweli mnisamehe sana
4. Mwanamke mwenye mipango kibao kichwani, sijui biashara, hashiki moja yeye ni mbili tumeshindwana mazeeee.
5. Mwanamke aliye serious na maisha mimi hapana. Mtu mgumu, mjuaji apotelee mbali
Ndivyo nilivyo!!
Hahahahaha mwenza umenichesha sanaMi hata siwaelewagi wanaume wa humu MMU, naomba niwaage mnanichanganya. Kuanzia leo napatikana jukwaa la Historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada ake nakusalimia najua nitajibiwa alfajiri nikiwa sipoDuuh [emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaha hawaeleweki hata
Mangi Mungu anakuona