Hivi nani ni 'wife/husband material?

Hivi nani ni 'wife/husband material?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Unajua kuna kitu mimi kina ni changanya, zamani tulifundishwa mwanamke mzuri wa kuishi naye au mwanaume bora wa kuishi naye ni yule ambaye ana tabia njema lakini siku hizi tunasikia mashauri kabisa tofauti na yale ya kipindi cha nyuma hasa kwa akina dada wa leo na akina kaka wa leo.

Wengi wana kuambia mke bora ni yule ambaye unapendezwa na the way alivyo, yaani wengi wanazungumzia beautiful face, good shape, na mengine.

Uku wanawake nao wanavutiwa na baadhi ya vitu fulani kwa wanaume, wengi utasikia napenda mwanaume mweusi, sijui mrefu, sio mwembamba, na mengine mengi.

Je, haya yanaweza kufanya udumu na huyo mwanamke wako? Au mwanaume wako?

Icho ndo nataka nijue maana nimesha changanikiwa kwasasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna kitu mimi kina ni changanya
Zamani tulifundishwa mwanamke mzuri wa kuishi naye au mwanaume bora wa kuishi naye ni yule ambaye ana tabia njema lakini siku hizi tunasikia mashauri kabisa tofauti na yale ya kipindi cha nyuma sa hasa kwa akina dada wa leo na akina kaka wa leo
Wengi wana kuambia mke bora ni yule ambaye unapendezwa na the way alivyo
Yaani wengi wanazungumzia beautiful face good shape Na mengine

Uku wanawake nao wanavutiwa na baadhi ya vitu fulani kwa wanaume
Wengi utasikia na penda mwanaume mweusi sijui mrefu sio mwembamba na mengine mengi

Je haya yanaweza kufanya udumu na huyo mwanamke wako? Au mwanaume wako?

Icho ndo nataka nijue maana nimesha changanikiwa kwasasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Wife materiel wala Husband materiel bali kuna Wife material na Husband material

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tulishakubaliana humu kwamba kigezo muhimu ambacho kila wife material anatakiwa kuwa nacho Ni wowowo,Yaani msambwanda wa kueleweka.

Sio lazima awe na ikili maana akili mtatumia tu zako afu life lisonge.
 
Kudumu ni kile kilichopo ndani ya mtu na sio nje, nje ubadilika kulingana na hali na mazingira. Ili ndoa idumu usinunue housing bali simu Original
 
Tako, Mataki, Kalio, kifungashio!! Sifa kuu ya leo😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom