Kiukweli wanawake wife material wamenishinda

Kiukweli wanawake wife material wamenishinda

I wonder why. Na mimi nilikuwa najiuliza kwa sauti ya chini!!??

Halafu vigezo vingine ujiuliza, is he/she serious? Kama za mleta uzi huu[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
yani kila siku hua nazungumza kwanini expectations kubwa wanapewa wanawake, pamoja na kua ndio mzizi wa familia ila its too much sasa tukirudi kwenye majukumu ndio usiseme sasa mzigo kwa mwanamke, ndio maana mwisho wa siku mambo yanawashinda kwasababu hakuna balance kati ya expectations vs reality wanawake wa kiafrika wamekua wakitengenezewa malezi ya kua givers ila wanaume ni receivers tu.
 
Kwanza mwanamke mwombaji anawezaje kuwa na mahusiano na mtu wa aina yako? Inakuwaje yaani hadi muingie kwenye mahusiano? Au unawazungumzia wale wa kukanyaga mafuta? Yaani yeye anazunguka kwa manabii kukanyaga tu mafuta mengine hana habari nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Valentine inayokuja ninapanga kukupa mtoto wa mtu Khantwe zawadi ya tenga la nyanya
 
Hiyo number 3 mkuu tema mate chini. Ushawahi kutana na mwanamke mlevi.
Aisee kuna dada alikua jirani yangu ni mlevi wa kupindukia. kunywa lazima anywe bar, hawezi kunywa getto. Na lazima alewe mpaka azime. Yani ilikua ni aibu. Mdada mzuri tu aliesoma lakini kila siku boda inamuokota huko inakuja kumbwaga kibarazani kwake hapo kajikojolea na kujitapikia kabisa.

Mkataa pema. Wewe komaa na slay queens wife material wataolewa na waoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana walikuwa hawamli kimasihara ?
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja, naukishajua kwenye mahusiano unataka Nini Basi ukimpata wa aina hiyo mtadumu.
 
Sijui niko peke yangu au kuna wenzangu kama mimi?

1. Mwanamke kunivalia magauni makubwa na sketi ndefu hapana aisee. Nimesha acha wengi wenye itikadi hizi...

2. Mwanamke kila wakati anasali, mara maombi, sijui kwa mchungaji gani huko hapana kwakweli. Wengi wanaokuwa na swaga hizi hatumalizi mwezi

3. Mwanamke asiyekunywa pombe, kiukweli mnisamehe sana

4. Mwanamke mwenye mipango kibao kichwani, sijui biashara, hashiki moja yeye ni mbili tumeshindwana mazeeee.

5. Mwanamke aliye serious na maisha mimi hapana. Mtu mgumu, mjuaji apotelee mbali

Ndivyo nilivyo!!
Wife material for husband material

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hiyo number 3 mkuu tema mate chini. Ushawahi kutana na mwanamke mlevi.
Aisee kuna dada alikua jirani yangu ni mlevi wa kupindukia. kunywa lazima anywe bar, hawezi kunywa getto. Na lazima alewe mpaka azime. Yani ilikua ni aibu. Mdada mzuri tu aliesoma lakini kila siku boda inamuokota huko inakuja kumbwaga kibarazani kwake hapo kajikojolea na kujitapikia kabisa.

Mkataa pema. Wewe komaa na slay queens wife material wataolewa na waoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini mabaharia usiku walikua wanamuonea huruma sana huyo Jirani yako[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom