BabeBaby,
[emoji18]
Babe
Naona sina vigezo kabisaa! Naomba nikae pembeni tuu babe
Yaaaani nimecheka daaah ila wanaume jaman
We pretend to please you and you never be pleased..
Let us please ourselves..
Hahahaaaaa Mangi nacheka hapa acha kabisa..Aaaaah,
Mbona una vigezo vyangu ww?
Maandishi hayadanganyi babe!Beb,
Unakila kitu nacho kipenda...
Achana na haya maandishi..
HahahaaaAnko....
Aaah,
Sijachangia kitambo humu....
Wkt mwingine unazingua tu....
Kwanza mwanamke mwombaji anawezaje kuwa na mahusiano na mtu wa aina yako? Inakuwaje yaani hadi muingie kwenye mahusiano? Au unawazungumzia wale wa kukanyaga mafuta? Yaani yeye anazunguka kwa manabii kukanyaga tu mafuta mengine hana habari nayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa kukupambanisha na vijana wenzio huwa anaboa sana af hayo sio mapenzi. Ujinga sana maana kila mtu ana vipawa vyake.janamke juaji utaliona maneno yake alafu yanapenda sana kuiga
Mfano utalisikia mbona "wanaume wenzako wako hivi mbona wewe upo hivi "
what f*uck
Atajuta 🤣🤣🤣!!!Nadhani ni suala la muda kama Eli79 alivyosema.
Maisha sio ya kuyachukulia serious ila wewe unatakiwa ukutane na wale bongo movie....wanakufaa.