Kiukweli wanawake wife material wamenishinda

Kiukweli wanawake wife material wamenishinda

Hiyo number 3 mkuu tema mate chini. Ushawahi kutana na mwanamke mlevi.
Aisee kuna dada alikua jirani yangu ni mlevi wa kupindukia. kunywa lazima anywe bar, hawezi kunywa getto. Na lazima alewe mpaka azime. Yani ilikua ni aibu. Mdada mzuri tu aliesoma lakini kila siku boda inamuokota huko inakuja kumbwaga kibarazani kwake hapo kajikojolea na kujitapikia kabisa.

Mkataa pema. Wewe komaa na slay queens wife material wataolewa na waoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza juice ya limao naja kulipaaa
 
Sijui niko peke yangu au kuna wenzangu kama mimi?

1. Mwanamke kunivalia magauni makubwa na sketi ndefu hapana aisee. Nimesha acha wengi wenye itikadi hizi...

2. Mwanamke kila wakati anasali, mara maombi, sijui kwa mchungaji gani huko hapana kwakweli. Wengi wanaokuwa na swaga hizi hatumalizi mwezi

3. Mwanamke asiyekunywa pombe, kiukweli mnisamehe sana

4. Mwanamke mwenye mipango kibao kichwani, sijui biashara, hashiki moja yeye ni mbili tumeshindwana mazeeee.

5. Mwanamke aliye serious na maisha mimi hapana. Mtu mgumu, mjuaji apotelee mbali

Ndivyo nilivyo!!
Basi ishi peke yako hulazimishwi kuishi na wanawake wa aina hiyo mbona maisha mepesi unayafanya magumu.
 
Aliyewaroga nyie wanaume sijui nani? Yote hiyo unataka upate mwanamke wa hovyo ili baadae uje na uzi wa kulalamika jinsi demu wako alivyokua furushi?

Huyo mwenye imani yake, mipango ya biashara na kujiheshimu humtaki sababu atakuchoresha na uasilia wako utaonekana
Haya endelea kutafuta wadangaji wenzio
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sijambo Dada wa mie. Tunavyopishana Mungu anatuona kwa kweli.

Weekend inasemaje lakini huko?
Hahaha sio kwa kupishana huku

Weekend ipo poa sijui upande wako
 
yani kila siku hua nazungumza kwanini expectations kubwa wanapewa wanawake, pamoja na kua ndio mzizi wa familia ila its too much sasa tukirudi kwenye majukumu ndio usiseme sasa mzigo kwa mwanamke, ndio maana mwisho wa siku mambo yanawashinda kwasababu hakuna balance kati ya expectations vs reality wanawake wa kiafrika wamekua wakitengenezewa malezi ya kua givers ila wanaume ni receivers tu.
Wanawake wa waafrika wa wapi? Hao givers na wanaume wao recivers?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom