JPM hakuwahi kuoneshwa bei hizo alifichwa hata waziri Ummy hazijui wala Rais Mh Samia hazijui. Kuna kitu JPM alihisi na kuivunjilia mbali DCC ya wakati ule.Hizi bei zilipangwa lini? JPM alibahatika kuziona au kuzifahamu wakati wa uhai wake?
Hivi we mjamaa..kwa akili yAko kubwa unadhani ni biashara Gani itamfanya mtu aweze kulipa hiyo kodi yenu na yeye akabaki na gharama za uendeshaji ikiwemo faida!? Hivi mnavyopanga hizo gharama za tenants mnakuwaga mnafikiria future ya hiyo miradi na lengo lake!? ...hii haijalishi uwepo wa machingas na vendors wengine...Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?
Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Halafu mtu ananyoa buku 2 na anakuomba umpunguzie jeroYaani barbershop nilipe milioni 3 kwa mwezi...Dah!
Ndugu hiyo ndiyo bei halisi kwa mujibu wa waraka na barua walizopewa washinda zabuni unedited ....Pumbavu peleka Ujinga wako huko, hata marekani hawatozi hiyo Kodi uliyoitaja hapo.
Hao wamachinga hapo stendi wanalipa nini kufidia hizo 60b?Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?
Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Unachukua howo nne Unaanza kula pesa za transit ..waache.36000000×10months=360000000 hiyo pesa sipati youtong.
Labda kichaaa ndio ataenda kuwekeza hapo. Halafu ukashindane na machinga wanaopeleka vinywaji hadi ndani ya gari, plus vocha na takataka nyingine.
Kunyoa laki na nusu.Yaani barbershop nilipe milioni 3 kwa mwezi...Dah!
Tatizo hawajawahi kufanya biasharaHivi we mjamaa..kwa akili yAko kubwa unadhani ni biashara Gani itamfanya mtu aweze kulipa hiyo kodi yenu na yeye akabaki na gharama za uendeshaji ikiwemo faida!? Hivi mnavyopanga hizo gharama za tenants mnakuwaga mnafikiria future ya hiyo miradi na lengo lake!? ...hii haijalishi uwepo wa machingas na vendors wengine...
Guys nilichogundua Tanzania hii hatuna watu wa planning kabisa..majitu ambayo yanafanya hizi Kazi kwenye taasisi yanafikirigaa kwa tumbo ..
Mfano wa taaisisi hovyo kwa planning ni hao, na ATCL, Halmashauri za miji na majiji, BANK zote , BANDARI, TRA, TBS, TBC, RITA, TANROADS, almost zote ambazo zinagusa maisha ya mtanzania..majitu huko ofisin hayana mawazo mdala zaidi ya kufikiria kukusanya kwa Raia tu..haya makitu ni maboga