Raha gani tena hiyo...wa hivyo mara nyingi hawajitumi kitandniMuachie tu si alikua anakupa raha jamani
Raha gani tena hiyo...wa hivyo mara nyingi hawajitumi kitandniMuachie tu si alikua anakupa raha jamani
Kivipi mrembo...wee usijali mie ukiendana na terms zangu mbona utaenjoy vizuri tuuKwa hiyo kenge moja ndo imetuharibia soko wadada wote
Acha wee...hapana bwana mie nilishasema kuwa am never gona be a a one woman man. Lazima niwe na backup yangu.Ukianza kuwa na wanawake wa moyo wako.
Siku utaelewa mkuu.
Sasa kama hakua anajituma anakua kakukoleza na nn had unahonga vyote hivyo? mkizinguana unamuachia tu mambo ya kupokonyana vitu after breakup naona ni ushamba tu.Raha gani tena hiyo...wa hivyo mara nyingi hawajitumi kitandni
Akaliwa mama???Lali 4 na 70 halafu akawa ananiletea nyodo. Mama yake tulikuwa tunaiva sana nilikuwa nampoza mara nyingi tu. Baadaye nikamwekea vikwazo vya kiuchumi na
Mwisho wa siku akaliwa na yeye.
Aah wapi [emoji23] nishakusoma tutasumbuana tu.Kivipi mrembo...wee usijali mie ukiendana na terms zangu mbona utaenjoy vizuri tuu
Wee handsome boy ulimuhonga nini maana nasikia nyie pia mkipenda mnahongagaSasa kama hakua anajituma anakua kakukoleza na nn had unahonga vyote hivyo? mkizinguana unamuachia tu mambo ya kupokonyana vitu after breakup naona ni ushamba tu.
Hiv yule alichitiwa ama ilikuaje ?nimesahau.Ndo maana yule jamaa wa kigamboni alimchoma mkewe na magunia ya mkaa kibao
Wee tutasumbuana vipi mrembo mie nitakuhonga na nitaenjoy na wewe plus utapata kidume kweli kweliAah wapi [emoji23] nishakusoma tutasumbuana tu.
Zaidi ya kukulana hakuna jingine. Hata yeye sikuwah pewa hata mia yake na sikujali.Wee handsome boy ulimuhonga nini maana nasikia nyie pia mkipenda mnahongaga
Ah so nyie mlikuwa kama sexmatesZaidi ya kukulana hakuna jingine. Hata yeye sikuwah kula hata mia yake na sikujali.
Mkuu hebu twende taratibu basi, we honga tuu kupendwa ni matokeo.Mimi ni shahidi kwenye hili, Kwanini mara nyingi nyie wadada, tukiwahonga pesa na kuwaonesha upendo wa kweli, mnatupiga na vitu vizito kichwani na kutuona mafala, Yani utakuta labda unavunja benki na kujitutumua, unamnunulia mdada kitu fulani kwa upendo, halafu hapo hapo anakujibu kunya na kwa ukatili, hivi huo ni u-lusifa, au ushetani wa aina gani? Kama humpendi Mtu atleast kuwa gentle and honest about it.
Nimekuja gundua binadamu mwanamke na hata sisi wanaume, hajali ni jinsi gani unampenda, bali anajali kipi anafaidika toka kwako kipesa au anakupenda vipi, nimegundua hata nikihonga gari, nikiandika sms refu kila siku kama gazeti ya kuonyesha nampenda, nikibembeleza, nikipiga simu kila mara na kumfuata fata mwanamke, kama huyo mwanamke hanipendi hio ni kazi bure, kwahiyo sahivi sijichoshi kuonyesha upendo, natongoza Muda mfupi baadae napita hivi.. Espy Atoto Yna2 Kelsea mawardat mzabzab Extrovert
Akakutag wewe msaga kunguni eti[emoji2297][emoji2297]Uko sahihi yani, nilishawahusia vijana humu kama ukiona demu wako hata kutoa jero yake tu kukununulia pepsi analalamika bala jua hamna mtu hapo.
Hela ya mkononi ndio sikuwah kula ila mengne yeye ndio alikua anagharamia kama tukitoka kuanzia chakula na mengine.Ah so nyie mlikuwa kama sexmates
Basi inatosha kama alikuwa anasimamia show zote...lakini sii ulikuwa unaburudika mrembo ndio cha muhimuHela ya mkononi ndio sikuwah kula ila mengne yeye ndio alikua anagharamia kama tukitoka kuanzia chakula na mengine.
Mimi nilimpenda ila sijui mwenzangu sijui alinichukuliaje hilo anajua yeye.
Anaandikaga gazeti huyu au itakua imejisend kabla hajamaliza kuandika.Akakutag wewe msaga kunguni eti[emoji2297][emoji2297]
Sijakuzoea, hii comment mbona fupi hivi?
Bwana ukimpenda mtu hata kama ana kasoro kubwa kiasi gani unaweza usizione. Nilikua namtaka yeye tu na wala sio vitu vyake.Basi inatosha kama alikuwa anasimamia show zote...lakini sii ulikuwa unaburudika mrembo ndio cha muhimu
Kumbe anaweza kuwa alikuwa sio mgegedaji mzuri basi tuu kwa sababu ya kupenda kwako pbasi unakojowa tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bwana ukimpenda mtu hata kama ana kasoro kubwa kiasi gani unaweza usizione. Nilikua namtaka yeye tu na wala sio vitu vyake.
Hahahah comment ziwe fupi fupi mwezi wa mfungo huu!Akakutag wewe msaga kunguni eti[emoji2297][emoji2297]
Sijakuzoea, hii comment mbona fupi hivi?
Nokia AshaNiliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...