Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Duh hii hatriii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake wanafanya mengi sna chumbani
Acha tuu. Kwa kwwli hawa viumbe tuwape mihela tuu maana utaenjoy sana kunako mechi ya sita kwa sita...wanajituma sana kama umempa gud time na mihela....sasa wee makeup za laki nne nimefanyiwa hivyo ebu imagine huyu umuhomge ist...
 
Kuna demu nilimununulia embe la 500tsh, nikampa namba yangu anitafute.

Mshenzi yule hajawahi kunitafuta mpaka leo hii.

Wengine wote huwa nawapa kwa moyo mmoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mchokozi shem[emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi naanzaje kukuhonga wewe...zikiwepo si nakupa kwa upendo wa agape tu!
Kabisa Shem wangu...
Zikiwepo unanipa tu..kama hazipo hakuna kinachoharibika...

BTW: hivi kuhongwa ndiyo kupoje Shem[emoji28]
Isije kuwa nami nahongwa..Then naona kama kupewa[emoji23]
 
Kabisa Shem wangu...
Zikiwepo unanipa tu..kama hazipo hakuna kinachoharibika...

BTW: hivi kuhongwa ndiyo kupoje Shem[emoji28]
Isije kuwa nami nahongwa..Then naona kama kupewa[emoji23]
Ni aina fulani ya biashara shem, unapewa..Ila na wewe utatoa/unatoa. Anayekupa anahesabia utazilipa kwa namna nyingine 😂😂
 
Ni aina fulani ya biashara shem, unapewa..Ila na wewe utatoa/unatoa. Anayekupa anahesabia utazilipa kwa namna nyingine [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooooh!!!Basi mimi napewa[emoji28]
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafa kitu kikubwa ninachowaz kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Pipi kifua mpaka leo inaniuma na kujuta sana kitu cha bure halafu nihonge ni mwendo wa sound kama Mp6 na ahadi kedekede ila hakuna hata moja inayotimizwa na mizinga kama ya Chechenyia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom