Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Shukran sn mkuu,
Lakini hata ukioa mkuu,,
Mwanamke habadiliki nature yake.

Tumeshuhudia watu wakikimbiwa na wake zao baada ya kuwafanyia kila kitu kwenye maisha.
Akikimbia tuna achana naye kikubwa sisi tusiwe chanzo cha kumkimbia. Kunguri au nyoka hawafugiki wataomdoka tu
 
Ila mkuu,,elewa kuwa kwenye mapenzi ya kweli kuna huruma ndani yake.

Huwezi kuwa na furaha kama umpendae anahangaika kwa shida na uwezo wa kumsaidia unao.

Tatizo Lao wanawake haijulikani wanatafuta nini ktk mapnz..
Ukiwa na pesa watasema mapenzi sio pesa.
Ukiwa huna pesa watasema hawataki mwanaume suruali.

Basi mradi tu waendelee na usaliti wao wa mapenzi.
Ndio maana tuishi nao kwa akili.
 
Bwana sijui wenzetu wanapendaje.
Nina jamaa yangu mmoja alikuwaga na demu toka nyanda za juu kusini. Jamaa alikuwaga chap Sana kwenye kutoa. Demu akikohoa tu, jamaa anarespond.

Zikaja tetesi kuwa demu wake anatoka na jamaa mwingine. Mshkaji akabisha. Wadau wakamchorea mchoro, siku hiyo kwenye movie cinema Mlimani City, jamaa anashuhudia demu wake analiwa mate mle ndani. Uzuri jamaa hakupanick, akawashtua kistaarabu tu, kuwa humu tumekuja kuangalia movie, mambo yenu kafanyieni gest.

Demu alikosa amani baada ya kumuona jamaa ndio yupo viti vya nyuma yao. Sisi hatukumaliza movie, tukasepa. Kesho yake jamaa anaenda serikali ya mtaa anaokaa demu, akawaelezea hali halisi ilivyo, then akaomba akachukue vitu vyake tu. Yule demu akaitwa kwanza ofisini, then ndo wakaondoka wote kwenda anapokaa demu ili jamaa achukue vyake.

Sisi wote tulijua jamaa anaenda kuchukua nguo zake na viatu. Ila Cha ajabu, jamaa alichukua hadi nguo alizomnunulia demu, viatu, chupi n.k. Mpaka mjumbe akawa anaulizia sasa hizi chupi unachukua za Nini? Jamaa anajibu simple tu, kuwa huyu anamtu mwingine, nikitoka atamletea vyote hivi.

Jamaa alimsafisha kiasi kwamba demu jeuri ilikata, akawa anaomba msamaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata mm najiuliza wanawezaje? Wanapewa nn mpaka wafanye yote hayo?
Kuna wenzenu wanatoa nyumba na usafiri kabisa na bado wese wanajaza,service juu yao wa wanalambwa matukio kama kawa[emoji23]
 
Ndo maana yule jamaa wa kigamboni alimchoma mkewe na magunia ya mkaa kibao
 
Nina jamaa yangu mmoja alikuwaga na demu toka nyanda za juu kusini. Jamaa alikuwaga chap Sana kwenye kutoa. Demu akikohoa tu, jamaa anarespond.

Zikaja tetesi kuwa demu wake anatoka na jamaa mwingine. Mshkaji akabisha. Wadau wakamchorea mchoro, siku hiyo kwenye movie cinema Mlimani City, jamaa anashuhudia demu wake analiwa mate mle ndani. Uzuri jamaa hakupanick, akawashtua kistaarabu tu, kuwa humu tumekuja kuangalia movie, mambo yenu kafanyieni gest.

Demu alikosa amani baada ya kumuona jamaa ndio yupo viti vya nyuma yao. Sisi hatukumaliza movie, tukasepa. Kesho yake jamaa anaenda serikali ya mtaa anaokaa demu, akawaelezea hali halisi ilivyo, then akaomba akachukue vitu vyake tu. Yule demu akaitwa kwanza ofisini, then ndo wakaondoka wote kwenda anapokaa demu ili jamaa achukue vyake.

Sisi wote tulijua jamaa anaenda kuchukua nguo zake na viatu. Ila Cha ajabu, jamaa alichukua hadi nguo alizomnunulia demu, viatu, chupi n.k. Mpaka mjumbe akawa anaulizia sasa hizi chupi unachukua za Nini? Jamaa anajibu simple tu, kuwa huyu anamtu mwingine, nikitoka atamletea vyote hivi.

Jamaa alimsafisha kiasi kwamba demu jeuri ilikata, akawa anaomba msamaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aise umenifungua macho kumbe naweza kumuhonga demu alafu namlia timing tuu akipelela mbususu kwengine mie naja kuchukua vyangu🤣🤣🤣🤣
 
Dawa ya kiburi ni jeuri. Mpumbavu anajibiwa kwa maarifa na si kama upumbavu wake. Huyu jamaa nimemkubali mno.

Back
Top Bottom