Nilihongaga Manzi printer zile ndogo za ofisini ila CD ya drivers zake ilikuwa imepotea ,sijui kama aliitumia au lah alibeba hivyohivyoHabari wana JF.
I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.
Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.
Binafa kitu kikubwa ninachowaz kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.
Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.
FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.
Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
Mukamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leka nilipgwa na kitu kizito kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mukamu lole po uli na mahelu
[emoji3][emoji12] mrejesho muhmMkuu acha usinitoneshe vidonda.
Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .
Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ha ha haaNiliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Hivi kuhonga maana yake nini?Habari wana JF.
I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.
Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.
Binafa kitu kikubwa ninachowaz kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.
Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.
FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Kwa mujibu wa kipato changu kitu kikubwa ambacho nilimuonga mwanamke kilikuwa na thamani ya shilingi laki nne na alfu sitini (460K
Na huyo niliyemuhonga hiko kitu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu acha usinitoneshe vidonda.
Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .
Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.
Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
Mapenzi ya kiutu Uzima haya..[emoji28]Sijawahi kuhonga, natoa kwa upendo tu. Kama sina basi tena. Sema nikihesabu hizo "change" za kuanzia 10k hadi 500k sijui ningekuwa wapi leo[emoji23][emoji23]
Duh hii hatriii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake wanafanya mengi sna chumbaniLaki nne mzeya alafu ilivyokuja kuniuma eti demu hela yote kaenda kununua make up[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Wiki nzima nimenuna mpaka akajua ikabidi ajaribu nipoze na mbususu...akajiungeza akamez shahawa