Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,507
- 19,320
udsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sanaYa kitivo cha sheria UDSM siyajui, lakini kwa nilicho kiona kwenye vyuo vyetu hususani vya serikali lecture au Doc ni sifa kukamata/kufelisha na nadhani nikisema hii inachanqiwa na kukosa chombo sahihi chakuwasimamia nitakua nakosea lakini naamini hii inachangiwa zaidi na asili yetu hususani sisi ngozi nyeusi
Haya mambo yapo kwa asilimia kubwa karibia nchi zote Duniani lakini huku Africa yameshamiri sana.
huyo mjita anatafuta nini hapo, sijaelewa.zipo tatu naskia...
Ya mhaya
Ya mchaga
Ya Mjita
Ukweli ndio huu.Ya kitivo cha sheria UDSM siyajui, lakini kwa nilicho kiona kwenye vyuo vyetu hususani vya serikali lecture au Doc ni sifa kukamata/kufelisha na nadhani nikisema hii inachanqiwa na kukosa chombo sahihi chakuwasimamia nitakua nakosea lakini naamini hii inachangiwa zaidi na asili yetu hususani sisi ngozi nyeusi
Haya mambo yapo kwa asilimia kubwa karibia nchi zote Duniani lakini huku Africa yameshamiri sana.
Hujaelewa kitu gani wewe kilaza wa namtumbo 😂😂huyo mjita anatafuta nini hapo, sijaelewa.
fafanua, unamwekaje mchaga, mhaya na mjita pamoja. unakuwa haupo siriasi.Hujaelewa kitu gani wewe kilaza wa namtumbo 😂😂
Tatizo wanafunzi wa nyakati hizi ni WAVIVU SANA, hawataki kutaabika, hawasomi lkn wanatamani kufaulu!!! matokeo yake wengi wao wanatumia njia za mikato ilimradi tu amalize apate digirii yake ya kupata ajira.kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one fifty wanafelishwa. hivi hii ina maana waalimu wa sheria chuo na law school hawana uwezo kufundisha? kuna uwezekano mkubwa hawajui kufundisha ndio maana wanafunzi hawawaelewi hadi kupelekea kufeli.
kwa wale waliosoma nje ya nchi hasa ulaya, watakubaliana na mimi kuwa kule wenzetu elimu imerahisishwa kwasababu hawapo pale kwaajili ya kufelisha wanafunzi wapo kwa ajili ya kumsaidia mwanafunzi kuelewa. hapa bongo waalimu wanafanya juu chini wanafunzi wafeli ati ndio kuchuja wapate cream nzuri, ifike kipindi mwalimu akifelisha sana basi aachishwe kazi manake hana uwezo kufundisha wanafunzi wakaelewa. nawaonea huruma madogo, hadi yule mmoja nasikia kafungua kesi kupinga kufelishwa law school ambako ni kweli pale wanasoma tu diploma na sio degree.
kwa wale waliosoma nje ya nchi hasa ulaya, watakubaliana na mimi kuwa kule wenzetu elimu imerahisishwa kwasababu hawapo pale kwaajili ya kufelisha wanafunzi wapo kwa ajili ya kumsaidia mwanafunzi kuelewa. hapa bongo waalimu wanafanya juu chini wanafunzi wafeli ati ndio kuchuja wapate cream nzuri,
Kumbe Lissu naye hakupata first class?udsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sana
atoe wapi first class? tena wenye akili nzuri ndio hawakupata first class, wale wasioeleweka ndio utakuta wana upper second na first hao wawili tu, na ukienda mtaani wanajisifu ati lowe second ya udsm sawa na first class ya vyuo vingine kama Mzumbe (alikosoma kibatala), tumaini n.k. ni sawa na first class ya vyuo vingine, hata wanapotangaza kazi wanaconsider hivyohivyo, sasa kuna sababu gani kufelisha watu makusudi?Kumbe Lissu naye hakupata first class?
majamba alipata first class, kwani ana nini cha ziada kuwazidi kina Mkono na wengine ambao walipata pass? maisha haya mnabaniana wee mwisho wa siku mtaani unaomba kazi kwa walewale. au rizmoko kwani alipata first class?Upo sahihi, na hii ndio roho mbaya ya sisi waafrika hatupendi kuona watu wengine wanakuwa na hadhi kama sisi na ndio maana huwezi kuona elimu yetu via a vis maendeleo yakikua, Mungu hapendi watu wenye kujiona, majivuno na kiburi vitu ambavyo maprofesa wetu wanavyo.
kama uwezo wa wanafunzi ni mdogo, na waalimu hawana uwezo kuwafundisha wakaelewa? nichukue mfano udsm ambako ndio nilisoma miaka hiyo, wanaosajiliwa kusoma sheria pale ni wale waliopata division one bora kuliko zingine, hizo two na three wanaenda vyuo vingine. wote wanaosoma udsm wamepata division one za mwanzo kabisa. utasema uwezo wao mdogo? binafsi nilipata one ya sita (HKL), nikapigwa sana za uso. nashukuru Mungu waliniachia walau ufaulu wa kuweza kuapply masters, nikaenda kusoma ulaya, kule nikakuta aina ya ufundishaji na relationship ya waalimu na wanafunzi sio ya kukomoana, ni ya kukufanya uelewe. na wazungu walewale waliosoma kwa kurahizishiwa wakija hapa wanaonekana wana uelewa mkubwa kuliko hawa malekichala wetu.Uwezo wa Wanafunzi Ni mdogo
Walimu hawana shida yeyote wako very competent
Hapana ata migiro ,Tenga walipataudsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sana
First Class ya Kabudi imetuzalishia kitu gani Special kama Taifa?udsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sana