kwi!kwi!kwi!...ehhehehehe...well, then maybe you need to sit down and be quiet then...lol
I hear you!
kwi!kwi!kwi!...ehhehehehe...well, then maybe you need to sit down and be quiet then...lol
Isitoshe kwenye AA, Gambling Anonymous e.t.c ktk zile 12-steps towards recovery, ya kwanza ni kukubali kuwa wewe (muhusika) una tatizo, yaani lazima uwe na insight ya tatizo lako na sio kuwa kwenye denial.
"Simple minds discuss people, ordinary minds discuss events and great minds discuss ideas". I believe we have a choice here - to discuss Kitine, to discuss what he did or to discuss the ideas he put forward. For some the choice will be simple, for others it will be hard and for the rest it wont matter. We are in dire need for help for we are stuck in the mud and are sinking fast - do we grab any rope thrown to us or do we sink and die ? Kitine was once part of the Mafia and for breaking the code of silence, they have but two choices - silence him or ignore and discredit him. Fortunately for those who have the interest of the country at heart, what matters is not what Kitine did but what he said - again the choice is simple.
Mbona hukumpa "thanks"?Kwa mara ya kwanza in a longtime nakubaliana na Kuhani Mkuu, bila ubishi!......
Amazing grace how sweet the sound that saved a wrench like me.
I once was lost but now I'm found, was blind but now I see.
This gospel song was written by a former slave owner who saw the evil of his ways
and sought salvation. The Black church in America sings this song because they
believe in redemption. Tukifuata kanuni za wengi ukumbini hapa Kitine hana haki ya
kuzungumzia hatma ya nchi yetu. Na kwa mtaji huu hatutafika.
Kwa mara ya kwanza in a longtime nakubaliana na Kuhani Mkuu, bila ubishi!...... Isitoshe kwenye AA, Gambling Anonymous e.t.c ktk zile 12-steps towards recovery, ya kwanza ni kukubali kuwa wewe (muhusika) una tatizo, yaani lazima uwe na insight ya tatizo lako na sio kuwa kwenye denial......swali rahisi kwa Kitine na wale wanaomshabikia, je huyu bwana kuna mahali popote kakubali kuwa yeye aliwahi kuwa fisadi (assuming kuwa sasa kesha pona 'ako kau-gonjwa) au bado ni fisadi anayetafuta tiba? Vinginevyo hana mamlaka ya upayukaji dhidi ya wenzake na kwa mtaji huo basi Bwa' Kitine ni publicity opportunist.......! Hafai, bado ni fisadi tena ni hatari kabisa kwa afya zetu mmoja mmoja na taifa zima kwa ujumla.
Ijumaa njema na wkend njema.
Tangu lini mwizi wa benki akawa mshauri wa benki aliyeiibia? Kama tunaweza kutofautisha matumizi ya kikombe na umbo lake, basi tunaweza kutofautisha alichosema Kitine na Kitine mwenyewe.
Right, kwa hiyo Kitine inabidi asimame aseme "ninachoweza ku share na nyinyi kuhusu experiences zangu za ufisadi ni kwamba unaweza kupoteza kazi kaa mimi, unaweza kufungwa jela, ingawa mimi niliponea chupuchupu, unaweza kupoteza credibility maisha, na kila unachosema kinaonekana ni cha kinafiki tu, etc. etc. kwa hiyo tujaribu kuepuka haya yaliyonikuta mimi."
Ndivyo wanavyofanya wenzake recovered alcoholic anonymous wakiongea kwenye teenage community centers.
Hawahamaki "...COMMUNITY IMEJAA WALEVI! ENZI ZETU KULIKUWA HAKUNA ULEVI! VIONGOZI WA COMMUNITY HAWAPIGI VITA DRUNK DRIVERS...."
No, no, no, taratibu Mr. Recovered Fisadi Kitine.
We tueleze kwa unyenyekevu tu, tunaweza kujifunza nini kutoka katika experiences za ufisadi wako, sio ku lambast mafisadi wenzio. Huna moral authority.
Kwa mara ya kwanza in a longtime nakubaliana na Kuhani Mkuu, bila ubishi!...... Isitoshe kwenye AA, Gambling Anonymous e.t.c ktk zile 12-steps towards recovery, ya kwanza ni kukubali kuwa wewe (muhusika) una tatizo, yaani lazima uwe na insight ya tatizo lako na sio kuwa kwenye denial......swali rahisi kwa Kitine na wale wanaomshabikia, je huyu bwana kuna mahali popote kakubali kuwa yeye aliwahi kuwa fisadi (assuming kuwa sasa kesha pona 'ako kau-gonjwa) au bado ni fisadi anayetafuta tiba? Vinginevyo hana mamlaka ya upayukaji dhidi ya wenzake na kwa mtaji huo basi Bwa' Kitine ni publicity opportunist.......! Hafai, bado ni fisadi tena ni hatari kabisa kwa afya zetu mmoja mmoja na taifa zima kwa ujumla.
Ijumaa njema na wkend njema.
Bila kuingilia uhuru wa mtu yeyote yule,ningependekeza turudi kwenye mada(content).Naona ni kama wachangiaji wamebase kwa mtoa hoja na sio hoja yake.Kama kuna wanaotaka kumjadili Kitine as Kitine then they better start a new thread.Ni hayo tu.
Kwanini Mr. Kitine analipenda taifa wakati uchaguzi unakaribia?? Issue zake mara nyingi zinakuja mwaka mmoja kabla ya uchaguzi.
Tukubaliane just for the sake of argument:
a. Mke wa Kitina aliwahi kuhusishwa na vitendo vya kifisadi never prosecuted.
b. Kitine alitaka kuwa Waziri sana hakupewa nafasi
c. Kitine bado ana machungu ya kuwekwa pembeni
d. Kitine naye ni fisadi (I'll go to that extreme).
Sasa:
a. Hoja zake juu ya tatizo la uongozi uliopo sasa hivi zina nguvu yoyote?
b. Je mtazamo wake kuhusu wajibu wa Usalam wa Taifa ni sahihi?
c. Assessment yake ya siasa za makundi ndani ya chama zina mantiki yoyote?
d. Je, kuna jambo lolote ambalo amelisema ambalo lina chembe ya ukweli au yote ni fabrication of his bitter mind?
Hakuna aliyesema Kitine awe mshauri. Bali tunachosema ni hiki je aliyoyasema Kitine kuhusu uongozi wa nchi yetu kina ukweli? je, kinaingia akilini? je kinastahili kujadiliwa na Watanzania ili kurekebisha hali ya uongoz ilivyo hivi sasa. Baadhi yetu tunasema NDIYO!!! Na hii haina maana Kitine atakuwa mshauri na Katiba ya nchi yetu haimnyimi uhuru Kitine wa kutoa maoni yake pamoja na kuwa fisadi
- Kitine na Mkapa, Mwalimu's people tena damu damu, Mwalimu alipokuwa ana-retire akapelekwa Canada kula nchi, akilipiwa kila kitu na serikali yaani hela zetu walipa kodi anachokifanya hakieleweki, Mkapa kuwa rais tu akamuomba kurudi great friends akarudi, Mkapa akatumia ubabe na nguvu za ajabu within a month Kitine ni mbunge na waziri ofisi ya Mkapa, all this time hajaona ubovu wa uongozi wetu wala tatizo la integrity,
- The next thing Kitine anaota urais, ghafla kaanza kuvaa kanzu na barakashia bungeni, nini kaambiwa rais anayefuata Mkapa lazima awe Muisilamu, mara oooh mawaziri ni wala rushwa, haya Kitine tuambie majina yao, akadai oooh no waandishi wamekosea sikusema vile, next mke wake amechukua maelfu ya dola za walipa kodi kwenda kutibiwa nje, kumbe ameenda kuzifanyia shopping bila kwenda Hospital wala kwa Daktari yoyote huko Canada na wala haumwi chochote, sasa all this time Kitine haoni ubovu wala tatizo la integrity na uongozI wetu,
- The next thing Kitine amehonga honga na kujaribu kuzuia uchunguzi wa kamati ya bunge kuhusiana na wizi wa mkewe wa hela zetu walipa kodi alizotumia nje tena kwa uharibifu sana, wabunge kuja juu sana ndio Kitine baada ya kubanwa sana na wabunge kukubali kujiuzulu na kulazimishwa kulipa nusu ya zile pesa tena katika mazingara yaliyojaa uhuni uhuni, badala ya mkewe kwenda jela kwa wizi wa mchana wa hela zetu walipa kodi, all this time Kitine haoni matatizo ya uongozi wetu na integrity yake kua hovyo!
Sasa leo he is supposed to be a hero kwa sababu amesema maneno ya kuponda serikali ya CCM, akitukana ubovu ule ule uliomponya yeye na mkewe, sometimes huwa ninajiuliza hivi vita tunavyopigana na mafisadi, kwa mfano tukiwatoa mafisadi wote leo, eti ni kweli tutaweza kuweka viongozi wapya ambao hawatakuwa mafisadi? Ningeelewa kwamba Kitine sasa ameamua kwamba wananchi wa Tanzania wameonewa vya kutosha na kuweka mfano anataka mkewe afunguliwe mashitaka kwanza ya kuiba hela zetu walipa kodi huko nyuma maana sasa anataka to come clean, no sasa yeye na Mbilinyi ni mashujaa against uozo wa uongozi wetu uliowaponya.
Tuangalie sana ndugu zangu tusije kua kama wenzetu weusi huko US, kabla ya Obama kukosekana kwa real heros kuliwafanya kuanza kuamini hata yule Ferguson aliyeuwa wazungu kwenye LIIR Train bila sababu kuwa shujaa, badala ya a murdereeer!
Mungu Aibariki Tanzania!
kwa mara ya kwanza in a longtime nakubaliana na kuhani mkuu, ...
.....wakati Kitine anatoa hiyo tahadhari, yeye mwenyewe kalewa chakari!! LOL.....sasa sijui bado utaendelea kumsikiliza au utaona mlevi mwingine tu huyu! kaaaaazi kweli!