Kitine: Nchi sasa yaongozwa kienyeji

Kitine: Nchi sasa yaongozwa kienyeji

1. FMES, Pania zana Baba mapambano ndio kwanzaaa! yanaanza wengi watakuja CHUI katika sura ya MWANAKONDOO hatujamaliza hoja za mzee MBILINYI (Profesa) amezuku KITINE (Dr) hawa wazee nenda rudi wao walikua watu wa chama na serekali CCM was father to them and SEREKALI was mother WAKIISHI kwa kuvitegemea, WAKITUMWA NA KUTUMIKA,
2.WAKAJENGA,WAKILA,WAKINYWA,WAKINYA,WAKIVAA,WAKISTAREHE,WAKIRUKA na MADEGE HUKU na KULE zaidi ya yote wakilipwa MISHAHARA na MARUPURUPU kwa PESA ya WAVUJA JASHO wa TANZANIA isitoshe heshima tukawapa kwa kutegemea watachukua DHAMANA WALIOAPA kuipokea kwa moyo wa uaminifu.matokeo ni kuwa WAMETUSALITI na sasa wanonyesha UNAFIKI WAO kwa Watanzania. wana JF naomba tuelewane tuwe makini katika kusoma mistari na kuifasiri (read my lips) tusome midomo ya hawa

3. JAMAA kumbuka heshima uliyokuwa ukiwapa, hadhi na daraja ulilowaweka,hawakujali yote hayo WAKATUIBIA WAKAACHA WENZAO WAIBE na wao wako pale as PART and PARCEL ya uongozi wa CHAMA TAWALA na SEREKALI na hawa wazee wetu si wazungu wa reli kama Majuto na Kingwendu ni wasomi PROFESA mzima na DAKTARI mzima. Ni kweli kabisa wanayosema yanaweza kuwa na ukweli sipingi wala sikatai kuwa umo ukweli, lakini MLIKUWA WAPI WAKATI TAIFA LINAWAHITAJI KIKWELIKWELI na wakati mna MENO ya UWAZIRI na UKUU WA USALAMA wa TAIFA?????? Na namna ya kuwasilisha hoja zenu nayo ni potofu,

4. kwanza MNGETOA BORITI KWENYE MACHO YENU, mngetupa angalau Muktahsari wa DHAMBI zenu na kuonyesha HUZUNI juu ya USALITI mliotufanyia,Hapo MNGEKIONA VEMA VIBANZI KATIKA MACHO YA WENZENU!! Na ukweli ni kuwa katika hali hii si RAHISI usimzungumzie MTU au MATUKIO bali uzungumzie MAWAZO ni vigumu sana kwa sababu hawa jamaa wamehusika na hayo MATUKIO kinachoweza kuwatenganisha nayo ni MAHAKAMA ya Sheria tu na mawazo ndio hayo pia tunayajadli kwa MAONI yangu mawazo haya yakichukuliwa kama USHAHIDI wa MUHALIFU dhidi ya MUHALIFU mwanzie yatasaidia sana upande wa MASHTAKA Pengine nayo ikawasaidia wao mbele ya HAKIMU kupata ADHABU AFUENI kidogo.

5. Lakini sikubaliani na maoni ya kuwavalisha watu kama hawa KOFIA ya USHUJAA. Kama kuna KIZEE GAGULA Kingine kianze kuonyesha MIKOBA YAKE kwanza ndipo kifichue wengine
.

- Mkuu tupo pamoja sana hapa, mpaka kieleweke!
 
YNMIS
Unachosema ni sahihi kama tunalenga mjumbe na si ujumbe. Mimi sijui Kitine ana mipango gani katika politics za nyumbani. Ninachomulika zaidi ni ujumbe wake. Is it relevant? Anasema kweli? Kwa kuwa tu alifanya madhambi huko nyuma haimwondolei haki yake ya kuchambua hali ya nchi yetu. Tumulike ujumbe zaidi badala ya mjumbe ama sivyo mapambano dhidi ya mafisadi yatatushinda tukijiwekea kigezo kuwa only those who are clean ought to engage in the fight. We need the Kitines because they know much of what has been going on behind the scene. That's all.

Okay, point well taken. However, you can't deny that whatever credibility or moral high ground he might have had if he wasn't a fisadi himself has been diminished by what he is/was accused to have done even if what he said is true. Can Mwai Kibaki's criticism of Mugabe be taken seriously?
 
Kaka,
Hata mie sijui Kitine ana plan gani kisiasa, ila nikiangalia kalenda "guts" zangu zinaunguruma na napata wasiwasi (tokana na rekodi yake) ya hii timing ya maneno anayosema!!

Hayo mambo ya kukumbatia wakina "Kitines" tokana na maneno yao matamu ndio yamepelekea mpaka leo kimsingi hakuna upinzani Tanzania....watu wanatoka CCM nakuingia upinzani, baada ya muda wanarudi CCM n.k. Ninachotaka kusema ni kuwa rekodi ya Kitine ni mbaya na hiyo peke yake ni "red flag" kwetu sisi kuwa hafai kuwa upande wetu hata kama anachosema ni cha kweli.........usiniambie kuwa huelewi!!

So, Kitine akisema leo kajiunga na Chadema wewe kwako utaona sawa? Hivi ktk Tanzania hakuna watu wengine zaidi ya "Kitines"!? Hizo "inside stories" kama anatupenda kweli kwanini hasizisema wakati akiwa serikalini!? Kwa fikra za dizaini yako ni kweli vita dhidi ya ufisadi tushashidwa toka siku ilipo anza.....tujifunze ka-utamaduni ka kwamba, ukilikoroga ndio umelikoroga na hakuna cha 2nd chance wala kusikilizwa tena hata kama mapambio yako yanafungua milango ya peponi, kwani kuwasikiliza wakina "Kitine" ni kukubali kuwa sisi ni mabwege.!!

Nakubaliana na wewe. Suala si Kitine kujiunga na CHADEMA au CUF. My scenario ya kumshirikisha Kitine ni kama tutakuwa na serikali iliyopania kweli kupambana na rushwa. Ikaunda kamati ya Truth and Reconcilliation ambayo itapewa mandate ya kudeal na suala zima la rushwa na wahusika wakena jinsi ya kutatua au kutibu cancer hiyo. Tuseme tumpe uenyekiti wa kamati hiyo FMES, na yeye ndiye atakeyetayarisha mashahidi wote wa kupambana na suala hili. Itafika wakati FMES atahitaji ushuhuda na information alizo nazo Kitine. Siyo kumpa second chance, but he knows something we don't and we need that info. So in this Kitine should be listened to and this does not mean that we are mabweges. You see my scenario?
 
NB
FMES, YNISM na NN,
No one here is trying to make Kitine a hero. Ningependa hilo lieleweke kabisa. What I am saying, and others who see things the way I do, is that we should focus on Kitine's message more than the messenger. Nimependa mfano wa Mag3 wa kukaribia Mlima Kitonga. Kitine tumhukumu kwa madhambi yake lakini tusidharau ujumbe wake.
 
NB
FMES, YNISM na NN,
No one here is trying to make Kitine a hero. Ningependa hilo lieleweke kabisa. What I am saying, and others who see things the way I do, is that we should focus on Kitine's message more than the messenger. Nimependa mfano wa Mag3 wa kukaribia Mlima Kitonga. Kitine tumhukumu kwa madhambi yake lakini tusidharau ujumbe wake.

It is hard for some of us to focus solely on his message because there is still an old score to settle. Had that been the case, I would have been the first one to call him a hero.....
 
Ahaaaaaaaaaaaa so you suspend your sentence!?

are you saying you were wrong ?

That was an oxymoron, I was just horsing around man. It was a shocker that he said that after we've engaged in bloody tussles for a long time. You know how we do it. It's all gravy though.
 
I guess Jasusi Ur somehow right on this...nakubaliana na hoja ya kumhukumu Kitine kwa makosa yake lakini haina maana asiaminiwe yeye kwa sababu ya matendo yake ya nyuma ambayo hayahusiani na kusema ukweli.. Kama angeonekana na record ya kuongopa au kawahi kusingizia mtu/watu basi hapo tungeshusha imani yetu kwake..

Navyo fahamu mimi, katika kutafuta ufumbuzi unaweza kabisa kutumia insight za jambazi mmoja kumnyaka jambazi mwingine au kundi la wahalifu..mara nyingi law enforcement hutumia ushahidi wa mharifu mmoja ktk pursuit zao za criminal activity ya mtu/kundi fulani hata kama mhusika alikuwa ni mhusika au an accomplice tu...na mara nyingi mtu kama huyu hujenga uadui mkubwa na kundi la majambazi akijulikana kama snitch!...jambo ambalo nimeliona sana hapa JF..wapo watu wanachukia sana ukianza kusema siri za chama au vyama vyao hata kama ni kinyume cha maslahi ya taifa!.. watakuja juu na kuanza kushambulia mtoa hoja credibility yake..

Sasa kosa kubwa linakuja kwa Kitine ni pale tunapotaka kumpa sifa ya aina yoyote ile wakati ni fisadi kati ya Mafisadi...hapa ndipo tunapokosea..huyu ni mwizi hatuwezi kumweka kundi tofauti na mafisadi wengine unless kuna mtu anafahamu kuwa Kitine was innocent..Tunakubali kwamba anaelewa zaidi yetu na tutachukua maelezo yake na kuyafanyia kazi lakini hatuwezi kumwondoa ktk kitabu cheusi, labda tu pengine tunaweza kumpunguzia uzito wa hukumu yetu kwake..
Tukumbuke ile sinema ya Silent of the Lamb!.. tukijisahau tu huyu Cannibal atatumaliza...
 
.....wakati Kitine anatoa hiyo tahadhari, yeye mwenyewe kalewa chakari!! LOL.....sasa sijui bado utaendelea kumsikiliza au utaona mlevi mwingine tu huyu! kaaaaazi kweli!

Suppose wote mmelewa na mnaona dereva wenu anapolipeleka gari siko kwa sababu ya ulevi wake, mtakaa kimya?
 
Kwanini Mr. Kitine analipenda taifa wakati uchaguzi unakaribia?? Issue zake mara nyingi zinakuja mwaka mmoja kabla ya uchaguzi.

Tuna uhakika gani kwamba waliofichua kashfa ya mkewe haikuwa mbinu ya kuhenguana kwenye uchaguzi? Wafichua kashfa wengi (si wote) wanafanya hivyo kwa malengo ya uchaguzi. Haizuii hoja hizo kujadiriwa au kufanyiwa kazi.

Hata anayedhani hayumo yumo. Tumsamehe makosa au tumhukumu lakini tubebe ujumbe wake ni mzito.



- La usafi wangu as far as uongozi wa taifa is concerned karibu sana mkuu, kama ni ishu kwa taifa, lakini ninasema taifa letu lina wasafi wengi sana na mimi nikiwa mmojawapo,
Thanxs!

FMES

Sikukulenga wewe kama wewe,tunaongelea maadili na uongozi wa taifa letu.

Ninachosema kwa mfumo wa uongozi tulionao, tukisema wale clean tu ndio wenye haki ya kusemea maovu,viongozi na watawala wengi walio madarakani itabidi wafumbie macho maovu yanayojitokeza,wanyamaze.wengi si wasafi.
Si wote tunajua mchakato wa uchaguzi ulivyokwenda ndani ya chama tawala, wao wenyewe ni mashahidi akiwemo Rais wamepigia sana kelele za rushwa wakati wa uchaguzi kwenye chama chetu! Rejea tuhuma za pesa za EPA kutumika kwenye uchaguzi mkuu.Hata anayedhani hayumo yumo!

Watanzania wengi ni clean lakini wako nje ya mfumo wa uongozi, wameshika makali.

Kusikiliza na kufanyia kazi mawazo mazuri ya wale waliotenda maovu huko nyuma haimaanishi kuhunga mkono matendo yao.

Thanks
 
Niwahi sema humu ndani kuwa tatizo la watz ni wasomi wetu kutokuwa wakweli kwa boss wao wa mwanzo, wangelikuwa wakweli na kuthubutu kusimama ktk line hiyo ya ukweli nchi hii ingelikuwa mbali sana

FDR Jr,
Mkuu you hit the BULLS EYE : UKWELI ndio unaogomba hapa ukija na ukweli baada ya Matukio Mambo yameshaharibika mara nyingi msada wake au wako ni mdogo au hauna maana kabisa. Hasa kama ulikuwa katika nafasi ya kujuwa kitakachotokea au kinachotokea nawe ukakaa kimnya (ni moja kwa moja unahusika au u mbinafsi unalinda maslahi yako) jambo ambalo halikubaliki.Na utaratibu huo ndio HISTORIA YA KISIASA TANZANIA. MWALIMU alituanzisha hivyo hakuna alieweza kumkabili kumuelekeza au kumrekebisha. (kiasi akaitwa HAAMBILIKI) hivyo UTAMADUNI huo ukaota mizizi.na ili kuing'oa ni lazima tulazimishe mageuzi kwa kukemea VINGOZI tulionao na kuwaonyesha picha ya Historia ilivyo kwani wanaifumbia macho kwa kuwa INAFICHA NA KULINNDA MADUDU YAO. WANANCHI ni lazima tuchukuwe WENYEWE JUKUMU LA KUMFUNGA PAKA KENGELE. Tuwe WAWAZI na WAKWELI hakuna MAJUNGU wala FITINA, UDINI wala UKABILA. TUHUKUMIANE INAPOBIDI KAMA WATANZANIA. NA TUPONGEZANE INAPOSTAHILI KAMA WATNZANIA. Hakuna haja au sababu ya kumwonea haya asiyetuonea haya. (Mwalimu)
 
1. Heshima mbele kwanza. Usafi wako waachie wengine wausemee mkuu,. Hata hao tunaowashutumu kwao wao ni wasafi.

2. Ila historia ya mtu ikianikwa, alipozaliwa,kukulia,kusomeshwa, ulivyopata kazi, unapofanyia n.k. yawezekana kabisa usafi wako ni wa mashaka.

3. Wapo waliosomeshwa kwa pesa za ufisadi wa baba zao, hao nao keshokutwa watatwambia ni wasafi.

4. Usafi wetu hu mashakani tunapolelewa kwenye miongo mitatu ya tawala zinazoshutumiwa kwa Rushwa kila kukicha
.

FMES

Sikukulenga wewe kama wewe,tunaongelea maadili na uongozi wa taifa letu.

Ninachosema kwa mfumo wa uongozi tulionao, tukisema wale clean tu ndio wenye haki ya kusemea maovu,viongozi na watawala wengi walio madarakani itabidi wafumbie macho maovu yanayojitokeza,wanyamaze.wengi si wasafi.

- Mkuu Jitume, ninajaribu kukusikia kama unavyosema mwenyewe kwamba hukuwa unanilenga mimi personal na hizo quotes zako hapo juu, haya nimekusikia na tuendeleee kukata ishus.
 
1. Sasa kosa kubwa linakuja kwa Kitine ni pale tunapotaka kumpa sifa ya aina yoyote ile wakati ni fisadi kati ya Mafisadi...hapa ndipo tunapokosea..

2. huyu ni mwizi hatuwezi kumweka kundi tofauti na mafisadi wengine unless kuna mtu anafahamu kuwa Kitine was innocent..

3. Tunakubali kwamba anaelewa zaidi yetu na tutachukua maelezo yake na kuyafanyia kazi lakini hatuwezi kumwondoa ktk kitabu cheusi, labda tu pengine tunaweza kumpunguzia uzito wa hukumu yetu kwake..

- Mukulu Bob, tupo pamoja sana hapo, ubarikiwe tu!
 
a.Hoja zake zina nguvu ,
b.mtizamo wake sahihi kuhusu Usalama wa taifa
c.Assessment yake kuhusu siaisa za makundi ndani ya chama zina mantiki
d.Aliyosema ni kweli tupu.

ANGALIZO:alichosema ni sahihi na ndio ukweli wenyewe iwe amesema kwa ajili ya uchungu na nchi yake ,ama anajijenga kisiasa au kutokana na yeye kutengwa ama vyoyote haibadilishi alichosema kuwa kweli kwenda kwenye uongo (Reality never change)

Kwa hiyo kujitia smart kuangalia kwa nini anasema hivyo na kukumbia hoja na kuanza kumjadili yeye it is low minded
.[/QUOTE]

- Mkulu Mutu kutokubaliana na hoja yako ni kuwa low minded sawa nimekusikia sana mkuu, Bwa! ha! ha! ah!.
 
- Haya wakuu in another two hours, nitaisukuma hii topic kwa wakulu wa taifa, nimeombwa niwasukumie kuanzia mkuu wa kaya mwenyewe sasa kama kuna mwenye nyongeza again in two hours nitaiepleka mbele kwa wakulu.

Respect!
 
wana JF..........hebu tu-assume Dr. Kitine angeyasema hayo aliyoyasema in anonymity........kama tufanyavyo hapa JF..........wengi wetu hapa JF deep inside we are not clean.........kwa hiyo we are just wasting our time here....eehh.........
 
wana JF..........hebu tu-assume Dr. Kitine angeyasema hayo aliyoyasema in anonymity........kama tufanyavyo hapa JF..........wengi wetu hapa JF deep inside we are not clean.........kwa hiyo we are just wasting our time here....eehh.........[/QUOTE]

- Mkulu Kitine, aliyekua Mkurugenzi wa Usalama wa taifa, na waziri wa usalama wa taifa anayejua uozo wote wa uongozi wa taifa letu tena kwa mifano, majina, tarehe na hata nambas tena toka enzi za Mwalimu, mpaka leo hivi hapa amesema nini ambacho mimi na wewe ambao hatujawahi kushika vyeo vyake hatuvijui au hatujawahi kuvisema?

- Sasa unaona unasema wengi wetu hapa deep inside we are not clean, hivi mkuu ni sheria ipi ya jamhuri yetu inayokataza kutokuwa clean deep inside? Lakini si unajua kuwa tunazo sheria za jamhuri zinazokataza wizi wake Kitine na mkewe, kwamba sasa hivi walitakiwa kwua jela na sio kuhubiri kwenye majukwaa ya siasa?

- JF tuko better off sana kuliko maneno empty ya huyu Kitine, maana maneno yetu hapa yaliweza kupelekea kung'olewa kwa a sitting Waziri Mkuu, sasa mkuu wangu unasema hayo maneno ya Kitine yanaweza kumng'oa kiongozi yoyote wa taifa sasa hivi?

Pleaseee!
 
wana JF..........hebu tu-assume Dr. Kitine angeyasema hayo aliyoyasema in anonymity........kama tufanyavyo hapa JF..........wengi wetu hapa JF deep inside we are not clean.........kwa hiyo we are just wasting our time here....eehh.........

Kwanza, jiongelee mwenyewe. Pili, sijui una maana gani unaposema "deep inside we are not clean". Sijawahi kufuja wala kuiba mali ya uma. Vyote (vichache) nilivyonavyo maishani mwangu nimevipata kihalali na kwa kutumia jasho langu mwenyewe. Sasa sijui hatuko wasafi kivipi? Au mzee Ogah unazungumzia mambo yaliyo ya kibinafsi (personal)?

Mwisho wa yote maneno ya Kitine hayana uzito. Hivi angekuwa Mkapa ndio kasema hayo angesalimika kweli? Au vidole vya unafiki vingemrudia na kumnyooshea yeye mwenyewe?
 
You're not serious mkuu....anyways, ukiachilia mbali ile student loan eeeeeeeenh (sina mpango wa kulipa), mie ni safi kama gilasi!!

Mkuu YNIM huo ni mkopo.........wala hukuiba........na sijui kama ulipewa deadline ya kulipa.....however tutawabana vijukuu vyako.........

Wee Nyani......acha hizo........mi nakufahamu........wewe ni mhaya...oops msukuma and.... maaan you are not clean at all (joke)........
 
Last edited:
Suppose wote mmelewa na mnaona dereva wenu anapolipeleka gari siko kwa sababu ya ulevi wake, mtakaa kimya?

Hamtakaa kimya.

Abiria aliyelewa anayo moral authority ya kukemea dereva aliyelewa kwa sababu yeye hajafanya baya kwa kupanda kiti cha nyuma kurudi nyumbani baada ya kulewa, ndio maana abiria walevi wetu hawa wakawa na huyu designated driver, ambae kumbe nae kalewa.

Kitine ni dereva mstaafu ambae siku za nyuma alikuwa (assuming ame recover) alikuwa drunk driver wa wizara, fisadi. Sasa anakemea drunk drivers wengine, baada ya yeye kufukuzishwa kwenye usukani na kuwa abiria mwenzetu; anasema tuwafukuze madereva walevi ndani ya gari, ndani ya chama, kabla ya yeye kutubu kwamba na yeye mlevi mkongwe alipokuwa dereva wa wizara aliua!

Abiria tunasema sawa, tunasikia hata ya huyu recovered vilain anaetuambia tukemee mafisadi.

Tunaanza na wewe, Kitine.

Tunasema, Kitine acha unafiki kukemea mtu. Umekamua mali ya umma, huna credibility, huna moral authority.

Usipokuwa na credibility, usipokuwa na imani ya watu, hatuwezi jua kama unataka kufukuza hawa drunk drivers wenzako ndani ya gari ili wewe ushike usukani wakati na wewe pia jalada lako la idara ya usafirishaji lina historia ya kuendesha gari la wizara while intoxicated with pombe ya ufisadi. Tunakukemea!
 
Last edited:
Back
Top Bottom