Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
Mmmhhhh!!! Viongozi wengine inabidi wapimwe akili kabla ya kupewa madaraka. Haya si maneno ya mtu mwenye akili timamu.
Mkuu, mimi huyu Chiligati sitaki hata kumsikia, nikiona picha yake TV na-switch channel, nikisoma jina lake katika gazeti I turn a page, nikisikia sauti yake katika redio I tune out! Yaani huyu mtu ni zero kabisaaaaa!