Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....
Senseless Moghati!
 
Kama Wenje siyo maarufu watu wa Nyamagana wasingemchagua kuwa mwakilishi wao. Kama unabisha kagombee hata uenyekiti wa mtaani kwako uone kama utachaguliwa, nyie misukule ya Nape mnatia kichefu chefu kwa nyuzi zenu za kibwege.
 
Aaaahh unataka kuzi-download kumbe uziweke kabisa kwenye CD au PC? ok fuata hii link hapa www.kipvideo.com au google youtube video downloader then check ipi the most accessible kwako then fuata maelekezo. hope this will help you. pole
 
au hivi

285587_224280750941126_100000776075386_556463_2312589_n.jpg
 
Mwenyekiti wa leo asbh alikosa hekima ya uvumilivu.....,

Ushabaki wa Vyama unapoteza maana nzima ya heshima la Bunge letu la Bongo....!
 
Mimi ninadhani ni bora wabunge kuwa wehu kwa kelele ambazo wakati mwingine zinawashtua waliolala... tumekaa kimyaa wakati wa bajeti yakaibuka ya akina www.jairomalimangeleja2011.com Hili ni jambo zito kwa taifa na halistahili kabisa kuichia serikali iamue kila kitu kwa kupiga mabenchi eti bajeti ipite wakati kwenye account zao tayari walishapewa kilainisha bajeti.Hapa bakora inastahili kama alivyosema Mwl.JK Nyerere
 
Kwa mtu yeyote mwenye busara hawezi kushabikia ujinga ulioonyeshwa na Wenje bungeni. CDM inabidi wawafundishe vijana wao umuhimu wa kutumia nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu kama wanavyoelekea saivi. Mbona kina Dr. Slaa walijivunia heshima sana kwa kutoa hoja nzito bungeni kiasi tena katika bunge ambalo lilitawaliwa na idadi kubwa ya wabunge wa CCM kuliko ilivyo sasa. Tunashuhudia wabunge kama kina wenje wakiwekeza sana katika vituko na fujo ambazo kimsingi haziwasaidii watanzania. Inavyoonekana CDM hakuna tena mtu wa kuvaa viatu vya slaa katika kutoa uwakilishi makini. Kinachojitokeza sasa ni fujo zisizo za msingi katika masuala yasiyo ya muhimu kwa taifa hili.

Mkuu, ukifuatilia mijadala inayoendelea ndani ya Bunge utagundua kwamba Spika, makamu wake na wenyeviti wamekuwa wakikandamiza sana hoja za wabunge wa upinzani, hasa CDM. Hii inapandisha hasiira sana kwa baadhi ya wabunge na ndio maana nao wanaleta vioja. Inabidi hawa viongozi wa mijadala ya Bunge wajirekebishe. Lazima watambue na waheshimu mchango wa wabunge wote kwa maslahi ya taifa na sio kwa maslahi ya chama hiki cha majambazi (CCM)>
 
watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....

You are among the great stinkers and sinkers and not a Great Thinker hakika .Ukiwa na wivu lazima uwe mchawi .Kijiba cha nini .Tunataka mada za kuisaidia Tanzania si kumuongelea Mbunge au mtu kisa kakataa ama kataka kujua ukweli no way .Keep on stinking dude .
 
watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....
hilo nalo neno!
 
Zitto hakutoka katika mazingira ya kipuuzi kama ya Wenje, kimsingi Zito alitoa hoja yake na kila mtu alijuwa kuwa ya Buzwagi na baadaye Spika ndiyo akatoa judgement. Kwa wenje alichofanya ni kuharibu mwenendo mzima wa mjadala kwa kupiga makelele yasiyo na msingi. Na ndi maana nakuhakikisha kuwa kwa behaviour ya leo Wenje hawezi kupata reception kwa watanzania kama aliyopata Zitto na sidhani CDM watarisk kumtembeza ncho nzima kama ilivyokuwa kwa Zito kwa sababu scenario hii si kama ile ya Zito. Binafsi sidhani kama kulikukwa na umuhimu wa kubehave kama alivyofanya leo. Na si busara kuiga alichofanya Zito katika mazingira yale kwa sababu huo mkakati haukuwa endelevu. Hata ile walk out haikuwa na faida kubwa sana kisiasa kwa CDM zaidi ya kuleta divisions ndani ya chama chao na kureinforce notion kuwa chama hicho ni cha fujo.

Wether behaviour aliyoonesha Wenje leo ni sahihi au la, but one thing is very clear - it has become 'normal' kwa wabunge wetu kupiga makelele. And the question is why Wenje atoke nje na sio wengine? Maneno kama 'akapate kikombe kwa babu' yamekuwa common, kwa nini kiti cha Spika hakimtoa mtu nje? Wenje is doing what everyone is doing.

As for your other point kwamba Wenje hawezi kupata reception kubwa, just read comments hapa JF. Comments nyingi hapa zinaonekana kupingana na your 'insertation'. Thinktank, kuna kitu kimoja wakubwa wa nchi hii hawataki kukubali - nacho ni wananchi wamepoteza imani na ule ustaarabu wa kuongea taratibu is no longer valid maana wanaona wanachezewa akili. So Wenje is doing exactly what a common mwananchi wants kwa mazingira ya sasa.
 
watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....
Kwani Wenje ni wa kwanza kutolewa bungeni...? Unawakumbuka wale watatu wa CUF..?? Unamkumbuka Chifupa wa CCM..?? Unamkumbuka yule wa kuvaa suti ya kiana..? Kutolewa kwa kutetea haki ya mwenzio si tatizo............ KUMBUKA MZEE MADIBA ALIFUNGWA 27 YEARS KWA SABABU YA KUTETEA WANANCHI WENZIE..................
 
watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....
Ama kweli shida haina adabu. Naona sasa CCM wameshikwa pabaya na CHADEMA na sasa wanaweweseka bila ya uelekeo! Hebu angalia utumbo huu! mwandishi wa thread hii ni kama aliyetokea uwanja wa fisi kunywa "Njimbo" ikamkolea kavua suruali na sasa ancheza ndombolo mbele ya kadamnasi uchi wa nyama! Masikini.... hawaelewi kwamba watahukumiwa kwa uchovu wa fikra wanaouonyesha na hawazingatii tena kwamba kinachowekwa jamvini husomwa pia na watu makini wenye fikra pevu. Ni aibu kuonyesha ujinga wa namna hii hadharani. Hebu Moghati na wenzako mliotumwa na Nape na Mukama ni lini mlikaa kikao na watanzania wote hadi kuwaagiza kuandika utumbo ulioandika? Pili ni demokrasia ya kweli Mwenyekiti kumtoa mwakilishi wa watu nje na hivi kuwanyima wapiga kura fursa ya kuwakilishwa?
Ni Mtanzania yupi anayesemekana kushabikia ubakaji wa demokrasia wa waziwazi unaofanywa na kiti cha Spika Bungeni? Wapi mlikaa kikao na watanzania woote waliowaambia wamewachoka wabunge wa CHADEMA? Na kama ni kweli wengi wamewachoka si muwaruhusu na wachache nao wenye fikra tofauti na zenu "wengi" waandamane kuonyesha hisia zao kama mlivyoandamana kule Mbeya? Inasikitisha kuona chama tulichokuwa tukikiamini na kukiheshimu sana sasa kinatenda mithili ya mgonjwa aliyeruhusiwa toka Mirembe hivi karibuni. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Hivi CCM mmerogwa na nani? Time will tell.

Wakati mwingine hii inaitwa verbal diarhea inayotokana na kushikwa pabaya!!
Hakuna point ila kuchanganyikiwa na kufadhaika kwa mkreketwa wa magwanda.
 
hilo nalo neno!
ungefurahi kuona wenje akitafakari kama Mh. Komba. Nadhani ndicho unatafuta. Lakini, ushachelewa. Siku wakizidunda nadhani KOMBA hatapata nafasi ya kutafakari kwa stail yake hiyo. Wenje na wengine wa CDM Mkiona namna gani sku nyingine wanakuja kuwakamata MKATE KIPEPUSI Afu mbnge wa ccm ataamka kisha wa cdm atamka.. Kifuatacho........,... Uyu mwaka nta tiro sha..!! (Hakuna kurara)
 
Back
Top Bottom