Kwa kanuni rahisi tu za ktakwimu 78% ni majority kwa hiyo ingekuwa busara sana kwa vyama vya upinza kudesign mikakati kuhakikisha wanapandisha hiyo idadi. Na njia rahisi nitarudia ni kuendeleza harakati walizoanzisha kina Slaa za ujenzi makini wa hoja kwa kuzingatiia kanuni. Kufukuzwa bungeni hauwezi kuwa mkakati endelevu katika siasa za kisasa. Lazima wajifunze kupambana na siasa kw kuzingatia realities kuliko kung'ang'ania kujenga taswira ya kuonewa na kulazimisha waonekane wameonewa hata kama ukweli hauoneshi hivyo
@Thintank CCM wana 78%, the remaining inatoka upinzani. Please soma my comment again - nimesema upinzani (total) siongelei chama kimoja cha upinzani hapa maana hata tafsiri ya neno upinziani imekuwa modified na bunge la Makinda to include anything outside ccm-box.